Kwanza nadhani hata zaidi. Wakati huo nimeenda mzee ni mid 1990s, lakini container handling ilikuwa computerised. Gantry Crane inakuwa controlled kama drome za Marekani sasa. Angalia yafuatayo.
1. Changi Airport (Singapore) ndio best and most efficient airport duniani, Standard n wastani usiozidi daki 2 lazima passenger amesha hudumiwa na hakuna makosa ya kijinga
2. Singapore Harbour the thrird busiest and first in cargo hadling
3. Ni nchi ya kwanza kuanza kutumia huduma bila paper money (virtual shopping). Ukiingia dukani, unashop na kuswap simu yako, pesa inatolewa kwenye account yako nakwenda kwenda kwenye ya huduma. Inaitwa "cultural melting pot, where Asia meets Europe and the old colonial meets the modern metropolis".
4. Imekuwa ya kwanza kuintroduce driverless/unmanned metro system (Mzee hata service ni marobot tu) hadi zinavyobadilishana shifts. Ukiangalia manthali utadhani umesha fika mbinguni tayari.
Na kumbuka hawa walikuwa masikini kama sisi (dunia ya tatu, sasa wanawazidi hata hao wajiitao dunia ya kwanza mbali) wamepata uhuru/kujitenga toka Malysia 1962 kama sisi.
Kwa hiyo tunahitaji uongozi thabiti na tuchape mzigo mzee tuone kamanasi tutasonga sio tunakalia wizi na kujiona wajanja!!!!
Aliyekutangulia kakutangulia tu mkuu. Sisi tutimize wajibu wetu kujaribu kuwafikia...Kanchi kadogo kama Singapore kanatushinda na eti kunakuja kutupa msaada shame on our country
TENA KWA 'LOBBYING' YA RWANDA! 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Kanchi kadogo kama Singapore kanatushinda na eti kunakuja kutupa msaada shame on our country
Kwa meli za kawaida za makontena... hatuna ujanja wa kuhudumia zaidi ya meli mbili kwa siku!!Kwani kwa hapa Dar uwezo wetu ni kuhudumia meli ngapi kwa siku?
Mkuu meli ya mita 105 ni ndogo sana hiyo. Hivyo ni vi feeder ambavyo haviwezi hata kubeba kontena 400 (400teus). Ni kama hivi vya hapa kwetu vinavyofanya ruti fupi za Zanzibar/Dar/Tanga.watu hawaamini. nimehudumia meli za CMA CGM katika kutoa huduma za ufundi bandari ya DSM, meli hizi humilikiwa na wa Poland, ma Injinia wake na kituo kikuu cha huduma ya ufundi kipo Singapore, Service Engineer alinishangaza sana kuhusu singapore. anasema meli 12 za urefu wa mita 105 zinatia nanga na kupakua mizigo kwa wakati mmoja. Singapore ni hub ya bahari ya Hindi, meli yeyote kutoka china, mashariki ya mbali, Japan na baadhi yake latin america -Asia hupita Singapore, meli huenda singapore kwa sababu kadhaa, moja ni ya kijiografia, 2 ni kufanya cargo interchange, 3. ni loading new cargo and offloading,4 ni huduma za ufundi. makampuni yote makubwa baharini yana office singapore, makampuni yote yanayowezesha huduma za ufundi baharini yana office Singapore, hivyo kuna meli hupata matatizo baharini wakiwa safarini hujaribu kuplan kupata huduma za ufundi Singapore kwa kuwa ni nzuri ukiwa unatengeneza meli huku unatafuta mzigo na kuplan route ukiwa Singapore. kumbuka banari ya beira na dsm hutegemea karakana ya meli iliyoko Mombasa Kenya. hivyo Singapore wapo mbali mno ktk bandari. kwa leo niishie hapa
Sasa ni wakati muafaka pia kwa Tanzania kwenda kujenga Barabara za DRC, kuna soko kubwa ila Barabara ni mbovu mno
hahahahah wazee wa kucopy na kupasteKwa siku Meli 60???? Kwa siku Makontena 91,000??? Really??
Nadhani bandari zinazoheshimika kwa ufanisi kama Felixstowe, Barcelona na HIT zinapaswa kujifunza kutoka kwa hawa jamaa.
Bandari haiwezi hudumia meli 60 au kontena 91,000 kwa siku (nadhani ikimaanisha 91000TEUs) afu ikawa inachangia only 7% ya pato la taifa. Sijui lakini..... kuna maajabu mengi sana siku hizi duniani.
Khaa!!! Basi tupo nyuma sana na Magu ana kazi kubwa sana mbele yake.Kwa meli za kawaida za makontena... hatuna ujanja wa kuhudumia zaidi ya meli mbili kwa siku!!

Heshima yako mkuu,
Vipi kuhusu masuala ya hospitality yaani kama kuna hoteli zenye unafuu na pesa zetu hizi za bajeti?
Mwezi Julai wana sherehe yao wao huiita Hari Raya Puasa ambapo wanasherehekea msimu wa joto.
Heshima yako mkuu,
Vipi kuhusu masuala ya hospitality yaani kama kuna hoteli zenye unafuu na pesa zetu hizi za bajeti?
Mwezi Julai wana sherehe yao wao huiita Hari Raya Puasa ambapo wanasherehekea msimu wa joto.
ndo tumeamka bro acha kutukana .......!! VASCO DA GAMA aliigeuza hii nchi kichwa cha mwendawazimuKanchi kadogo kama Singapore kanatushinda na eti kunakuja kutupa msaada shame on our country
Sasa ni wakati muafaka pia kwa Tanzania kwenda kujenga Barabara za DRC, kuna soko kubwa ila Barabara ni mbovu mno
Mkuu mimi nafikiri tungejenga railway kuliko barabaraSasa ni wakati muafaka pia kwa Tanzania kwenda kujenga Barabara za DRC, kuna soko kubwa ila Barabara ni mbovu mno
unasemaje????? singapore kanchi kadogo? anyway sikulaumu umeingia kichwa kichwa.Kanchi kadogo kama Singapore kanatushinda na eti kunakuja kutupa msaada shame on our country
You have said itKama tunataka ufanisi na faida kwenye bandari zetu lazima tujifunze kutoka The Port of Singapore Authority.
Hawa jamaa wanawezesha asilimia zaidi 7 za pato la taifa kupatikana kwa njia ya maritime industry. Wanashughulika kwa ufanisi na meli zaidi ya 60 kwa siku, makontena zaidi ya 91,000 kwa siku.
Wenzetu wanatumia one-stop-centre katika documentation za makontena na hakuna rushwa, uzembe na urasimu.
Sisi bandari zetu zinanuka uzembe, rushwa na ufisadi kuanzia wafagiaji mpaka top level management.
Ikumbukwe, Singapore ilikuwa ni nchi masikini sawa na Tanzania kwenye miaka ya 1970 lakini kwa sasa ni moja kati ya nchi tajiri duniani.
Where there is will there is a way!