Singapore kuboresha Bandari ya Dar

Singapore kuboresha Bandari ya Dar

Kwa siku Meli 60???? Kwa siku Makontena 91,000??? Really??

Nadhani bandari zinazoheshimika kwa ufanisi kama Felixstowe, Barcelona na HIT zinapaswa kujifunza kutoka kwa hawa jamaa.

Bandari haiwezi hudumia meli 60 au kontena 91,000 kwa siku (nadhani ikimaanisha 91000TEUs) afu ikawa inachangia only 7% ya pato la taifa. Sijui lakini..... kuna maajabu mengi sana siku hizi duniani.

Taarifa zipo sana kwenye mitandao zinazoonyeshwa nafasi na uwezo wa mashine mbalimbali zikiwemo bandari.
Kwa mujibu wa "webpage" hii Plan to double Singapore port’s container capacity - Newspaper - DAWN.COM waalikuwa wanazidi kiasi cha kontainer 91,000 kwa siku kama inavyoonekana hapa:

Plan to double Singapore port’s container capacity

SINGAPORE plans to almost double its container port capacity after Shanghai overtook the nation to become the world’s busiest harbour. …………………………………………………………………………………………………………………..........................

The deepwater port will eventually have capacity for 65 million standard 20-foot containers a year, according to Transport Minister Lui Tuck Yew. The PSA International Ltd., Singapore’s biggest container-port operator, says it can handle 35 million on the island currently. The maritime industry contributes about seven per cent of gross domestic product, a government website shows. Terminals from Asia to Europe face the need for deeper ports and bigger cranes as carriers roll out ever larger ships.

Located at the southern end of the 600-mile (965-kilometer) Malacca Strait, Singapore handled almost 32 million containers in 2012. That’s the most in the world after Shanghai, data from London-based periodical Containerisation International shows.
 
Kama tunataka ufanisi na faida kwenye bandari zetu lazima tujifunze kutoka The Port of Singapore Authority.

Hawa jamaa wanawezesha asilimia zaidi 7 za pato la taifa kupatikana kwa njia ya maritime industry. Wanashughulika kwa ufanisi na meli zaidi ya 60 kwa siku, makontena zaidi ya 91,000 kwa siku.
Wenzetu wanatumia one-stop-centre katika documentation za makontena na hakuna rushwa, uzembe na urasimu.

Sisi bandari zetu zinanuka uzembe, rushwa na ufisadi kuanzia wafagiaji mpaka top level management.
Ikumbukwe, Singapore ilikuwa ni nchi masikini sawa na Tanzania kwenye miaka ya 1970 lakini kwa sasa ni moja kati ya nchi tajiri duniani.

Where there is will there is a way!
Kweli kabisa
 
Kwa siku Meli 60???? Kwa siku Makontena 91,000??? Really??

Nadhani bandari zinazoheshimika kwa ufanisi kama Felixstowe, Barcelona na HIT zinapaswa kujifunza kutoka kwa hawa jamaa.

Bandari haiwezi hudumia meli 60 au kontena 91,000 kwa siku (nadhani ikimaanisha 91000TEUs) afu ikawa inachangia only 7% ya pato la taifa. Sijui lakini..... kuna maajabu mengi sana siku hizi duniani.
Inafkiri wale wanaendekeza siasa kama Tz ? Think again
 
Sera ya CUF hiyoo magamba wanaitumia wanamuacha Shein akijitia madole
 
Takwimu za wakatu huo mimi nimetembelea bandari hiyo ilikuwa ya 3 busiest duniani na 1 fastest in cargo handling duniani. Kumbuka ni mji tu kama Dar, msisikie nchi ya Singapore mkadhani ni kama Tanzania ambayo kwao sisi ni Bara zima!!!
Exactly mkuu ni nchi yenye eneo dogo tu lakin ni moto wa kuotea mbali..
 
Wewe inawezekana una uelewa zaidi wa haya mambo LAKINI mimi ninachojua ni kuwa SINGAPORE ndiyo nchi inayoongoza kwa productivity Duniani. Mataifa makubwa kama Japan na Marekani huwapeleka watu wao kwenda kujifunza productivity Singapore.

Kama inawezekana Singapore ijenge chuo hapa nchini ili kuwafundisha Watanzania productivity maana mpaka sasa ipo chini sana. Tena kama Singapore itawekeza nchini, serikali kwa kuanzia iruhusu makampuni hayo ya Singapore yawalete wafanyakazi wengi toka Singapore ambao watapunguzwa taratibu, lengo ni kuwafanya watanzania wajifunze jinsi kazi zinavyoweza kufanyika kwa speed na accuracy. Watanzania accuracy yetu ni ndogo, speed ndogo, kuthamini muda ni zero, kulalamika na majungu 90%, matumizi -na kutanua 100%.

Note: Productivity = Tija= speed + accuracy
Marhabbaaaa hapo umemaliza kila kitu. Tz tuna Madiwani wasojua kusoma wala kuandika Kiswahili fasaha achilia mbali yai.
 
Safi sana tutajifunza mengi kutoka kwao, Singapore ni bandari yenye uwezo mkubwa duniani na kama watawekeza kwetu natumaini mizigo itapita mingi hapa kwetu.
 
Ntashukuru kiongozi. Nimejitahidi ku google lakini sijafanikiwa kupata nlichokitaka

The Port of Singapore refers to the collective facilities and terminals that conduct maritime trade handling functions in harbours and which handle Singapore's shipping. Currently the world's second-busiest port in terms of total shipping tonnage, it also trans-ships a fifth[2] of the world's shipping containers, half of the world's annual supply of crude oil, and is the world's busiest transshipment port. It was also the busiest port in terms of total cargo tonnage handled until 2005, when it was surpassed by the Port of Shanghai. Thousands of ships drop anchor in the harbour, connecting the port to over 600 other ports in 123 countries and spread over six continents.

The Port of Singapore is not a mere economic boon, but an economic necessity because Singapore is lacking in land and natural resources. The Port is critical for importing natural resources, and then later re-exporting products after they have been refined and shaped in some manner, for example wafer fabrication or oil refining to generate revenue. The service industries such as hospitality services typical of a port of call restock the food and water supplies on ships. Ships pass between the Indian Ocean and the Pacific Ocean through the Singapore Strait. The Straits of Johor on the country's north are impassable for ships due to the Johor-Singapore Causeway, built in 1923, which links the city of Woodlands, Singapore to Johor Bahru in Malaysia.

Port of Singapore - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Safi sana tutajifunza mengi kutoka kwao, Singapore ni bandari yenye uwezo mkubwa duniani na kama watawekeza kwetu natumaini mizigo itapita mingi hapa kwetu.

Hizo nafasi za kwenda kujifunza watapeana wenywe ndugu, halafu wataenda watu wenye umri mkubwa wanaokaribia kustaafu badala ya kuwapeleka vijana wa 21yrs to 25 yrs kujifunza.
 
Sure itakuwa busy sana. Mi mshangao wangu ni huu wa kuhudumia meli 60 kwa siku. Hizi meli zitakuwa zinaingia kama ndege kwenye busiest aiport.... Meli 60?? Meli 60 zinapokuwa kwenye port moja lazuma kuna ports kadhaa zitakuwa hazina meli wallah.

The world's busiest ports are commonly ranked by cargo tonnage and by volume of container shipment measured in TEUs. Since the 2000s, the Port of Shanghai has surpassed the Port of Singapore and the Port of Hong Kong to become the world's busiest port by both measures
 
Hizo nafasi za kwenda kujifunza watapeana wenywe ndugu, halafu wataenda watu wenye umri mkubwa wanaokaribia kustaafu badala ya kuwapeleka vijana wa 21yrs to 25 yrs kujifunza.
Hii inaudhi sana, tuombe tu kuwe hakuna upendeleo katika hili, ili vijana wadogo wapelekwe
 
Sure itakuwa busy sana. Mi mshangao wangu ni huu wa kuhudumia meli 60 kwa siku. Hizi meli zitakuwa zinaingia kama ndege kwenye busiest aiport.... Meli 60?? Meli 60 zinapokuwa kwenye port moja lazuma kuna ports kadhaa zitakuwa hazina meli wallah.

Kwanza nadhani hata zaidi. Wakati huo nimeenda mzee ni mid 1990s, lakini container handling ilikuwa computerised. Gantry Crane inakuwa controlled kama drome za Marekani sasa. Angalia yafuatayo.

1. Changi Airport (Singapore) ndio best and most efficient airport duniani, Standard n wastani usiozidi daki 2 lazima passenger amesha hudumiwa na hakuna makosa ya kijinga

2. Singapore Harbour the thrird busiest and first in cargo hadling

3. Ni nchi ya kwanza kuanza kutumia huduma bila paper money (virtual shopping). Ukiingia dukani, unashop na kuswap simu yako, pesa inatolewa kwenye account yako nakwenda kwenda kwenye ya huduma. Inaitwa "cultural melting pot, where Asia meets Europe and the old colonial meets the modern metropolis".

4. Imekuwa ya kwanza kuintroduce driverless/unmanned metro system (Mzee hata service ni marobot tu) hadi zinavyobadilishana shifts. Ukiangalia manthali utadhani umesha fika mbinguni tayari.

Na kumbuka hawa walikuwa masikini kama sisi (dunia ya tatu, sasa wanawazidi hata hao wajiitao dunia ya kwanza mbali) wamepata uhuru/kujitenga toka Malysia 1962 kama sisi.

Kwa hiyo tunahitaji uongozi thabiti na tuchape mzigo mzee tuone kamanasi tutasonga sio tunakalia wizi na kujiona wajanja!!!!
 
Ntafanya liwezalo, Mungu anijalie nikayashuhudie hayo maajabu.

Nimebarikiwa kutembelea bandari kadhaa kubwa na zinazoheshimika... Sijawahi ona gantry cranes zikioperetiwa na "robots". Haya ni maajabu naomba Mungu aniwezeshe kuyashuhudia kwa macho.
 
Kwanza nadhani hata zaidi. Wakati huo nimeenda mzee ni mid 1990s, lakini container handling ilikuwa computerised. Gantry Crane inakuwa controlled kama drome za Marekani sasa. Angalia yafuatayo.

1. Changi Airport (Singapore) ndio best and most efficient airport duniani, Standard n wastani usiozidi daki 2 lazima passenger amesha hudumiwa na hakuna makosa ya kijinga

2. Singapore Harbour the thrird busiest and first in cargo hadling

3. Ni nchi ya kwanza kuanza kutumia huduma bila paper money (virtual shopping). Ukiingia dukani, unashop na kuswap simu yako, pesa inatolewa kwenye account yako nakwenda kwenda kwenye ya huduma. Inaitwa "cultural melting pot, where Asia meets Europe and the old colonial meets the modern metropolis".

4. Imekuwa ya kwanza kuintroduce driverless/unmanned metro system (Mzee hata service ni marobot tu) hadi zinavyobadilishana shifts. Ukiangalia manthali utadhani umesha fika mbinguni tayari.

Na kumbuka hawa walikuwa masikini kama sisi (dunia ya tatu, sasa wanawazidi hata hao wajiitao dunia ya kwanza mbali) wamepata uhuru/kujitenga toka Malysia 1962 kama sisi.

Kwa hiyo tunahitaji uongozi thabiti na tuchape mzigo mzee tuone kamanasi tutasonga sio tunakalia wizi na kujiona wajanja!!!!

Moyo wa Dhati wa Kiongozi wao Lee Kwan Yu huyu babu alikuwa jasiri sana mnamo miaka ya 60 kwani mara ya kufukuzwa toka kwenye Muungano wa Malay mwaka 1964 aliiongoza nchi ikiwa haina kitu chochote wala Rasilimali. Kwa kidogo walichopata kwenye mgao wa Malay aliamua kuwekeza kwenye vichwa vya wananchi wake (Kusomesha Vijana wao zaidi ya 350) nchi mbali mbali za Ulaya na Amerika. Huo ndio ulikuwa mwanzo wao kutoka
 
Sure itakuwa busy sana. Mi mshangao wangu ni huu wa kuhudumia meli 60 kwa siku. Hizi meli zitakuwa zinaingia kama ndege kwenye busiest aiport.... Meli 60?? Meli 60 zinapokuwa kwenye port moja lazuma kuna ports kadhaa zitakuwa hazina meli wallah.
Kwani kwa hapa Dar uwezo wetu ni kuhudumia meli ngapi kwa siku?
 
Back
Top Bottom