Singa: Kijiji kilichokuwa tajiri kuliko vyote Tanzania kabla na baada ya uhuru

Singa ni kijiji kilicho katika kata ya Kibosho mashariki, wilaya ya Moshi vijijini katika mkoa wa Kilimanjaro.

Wakaazi wa eneo hili ni Wachagga wa Kibosho japo siku hizi kuna wapare wengi na makabila mengine kama wasambaa na hata wahaya(wengi ni wajenzi). Kijiji cha Singa kimegawanyika sehemu maeneo matatu,Singa juu, Singa kati na Singa chini. Sehemu zote zimeunganishwa na barabara kubwa inayoenda Kibosho mission.
Kijiji hiki kilikuwa na kila kitu miaka hiyo.
Kilikuwa na kina huduma zote za kijamii kama
Shule za msingi, shule za sekondari vyuo mbalimbali, hospitali na hata nyumba za ibada (kasoro msikiti)
Kijiji kilikua kinalima mazao mbalimbali pia. Kilikua na basi kubwa la abiria maarufu kama Ndewedo.

Kijiji hiki kina historia kubwa sana kiroho,kwani wajenzi wa kanisa la Kibosho walifia kwenye mto unaoitwa Nsoo na kuliwekaa msalaba kama kumbukumbu,kila mwaka kulifanyika ibada eneo hilo
lakini msalaba huo ulivunjika miaka ya 2003 na haukurushwa tena.

Kuna eneo linaitwa "Odaa" lina historia ya kushangaza sana (kuna kitabu cha historia ya hapa).

Kijiji kilikuwa na sifa zote ujuazo lakini kwa sababu ya utendaji mbovu mbovu wa serikali basi kimefilika kwa sasa. Jambo la kushangaza pamoja na yote lakini hakuna kituo cha polisi hata kimoja na bado barabara yake mpaka leo haina lami japo ndio inayopitisha wagonjwa mbalimbali,dawa na mizigo inayokwenda hospitali ya Kibosho na kanisa Katoliki Kibosho.

Serikali na wadau wanakwama wapi kujenga kituo kidogo cha polisi? Kuna majumba makubwa ka mahekalu lakini kituo cha polisi hakuna.

Kijiji gani zaidi ya hiki Tanzania?
Mbeya kuna kata walikataa kujenga kituo cha polisi wakisema kikiwepo watapigwa! Sasa wewe unataka kiwepo ili wapigwe?
 
Kuna kijiji kinaitwa ÑGULYATI kiko BARIADI SIMIYU kijiji hiki kilikuwa kijiji bora na tajiri namba 3 Tanzania nzima baada ya uhuru

Kijiji kilikuwa na
1.mashamba ya kijiji.
2.Maduka makubwa ya kijiji
3.Mashine za kusagia
4.Barabara za mitaa yaani planned village.
5.Mabasi ya kijiji
6.Magari makubwa (Fuso)
7.Matrekta
8.Ng'ombe wa kijiji na walifuga kisasa kabisa

Nimekulia hapo na mpaka miaka ya 1999 ndo mali hizi xilianza kupotea kabisa

Ila kiko karibu na kijiji Maarufu zaidi Simiyu yaani GAmboshi
 
Kama kuna mdau aliyewahi kutembelea vijiji vya KATUMBA wilaya ya MPANDA aje hapa😁
 
Kuna kijiji kinaitwa ÑGULYATI kiko BARIADI SIMIYU kijiji hiki kilikuwa kijiji bora na tajiri namba 3 Tanzania nzima baada ya uhuru

Kijiji kilikuwa na
1.mashamba ya kijiji.
2.Maduka makubwa ya kijiji
3.Mashine za kusagia
4.Barabara za mitaa yaani planned village.
5.Mabasi ya kijiji
6.Magari makubwa (Fuso)
7.Matrekta
8.Ng'ombe wa kijiji na walifuga kisasa kabisa

Nimekulia hapo na mpaka miaka ya 1999 ndo mali hizi xilianza kupotea kabisa

Ila kiko karibu na kijiji Maarufu zaidi Simiyu yaani GAmboshi
Baada ya Uhuru zilikuwa Isuzu zenye Bendera, waarabu na washihiri walizipenda sana.
 
Kuna kijiji kinaitwa ÑGULYATI kiko BARIADI SIMIYU kijiji hiki kilikuwa kijiji bora na tajiri namba 3 Tanzania nzima baada ya uhuru

Kijiji kilikuwa na
1.mashamba ya kijiji.
2.Maduka makubwa ya kijiji
3.Mashine za kusagia
4.Barabara za mitaa yaani planned village.
5.Mabasi ya kijiji
6.Magari makubwa (Fuso)
7.Matrekta
8.Ng'ombe wa kijiji na walifuga kisasa kabisa

Nimekulia hapo na mpaka miaka ya 1999 ndo mali hizi xilianza kupotea kabisa

Ila kiko karibu na kijiji Maarufu zaidi Simiyu yaani GAmboshi
Hongereni hata cha Singa miaka hiyo ndio kilianza kupoteza,ila mali zisizohamishika bado zipo mpaka leo
 
Uhalifu ni mara chache sana,wengi wa watu wanaogopa wizi na pia wanaheshimu wazee wao na viongozi wa dini pia, lakini bado kituo cha polisi ni muhimu

Mkuu kwani kituo cha polisi pale Kirima hakitoshi?, uzuri huko ukiiba wazee wakikuamulia unakuwa chizi
 
Nilipokuwa uko nasoma A Level nilikuwa natoroka kwenda maeneo ya karibu na mlima Kilimanjaro geti nimelisahau jina ila vijiji vya karibu vilikuwa vimepimwa. Unapita shamba na shamba unaona vipimo vimenyooka.

Hata hivo watu wa uko wanapenda migogoro ya ardhi. Unakuta mtu ana kiwanja cha 500×400 analazimika akipige fensi chote. Unakuta geti zuri na ukuta mzuri unaamini hili jumba ndani kali, ukikaona ni kajumba ka room nne kabaya.

Ila kuna designers wazuri wa mageti.

Demu wangu Diana alikuwa mzuri mpaka leo natamani nirudi uko. Nilikutana nae katika harakati za kujiandikisha NIDA. Mwakani likizo namfata haolewi leo wala kesho

Usiende ukamlia kwao familia ikajua, wakikuamulia tafuta wachaga wakueleze tatizo utakaloondoka nalo.
 
Singa ni kijiji kilicho katika kata ya Kibosho mashariki, wilaya ya Moshi vijijini katika mkoa wa Kilimanjaro.

Wakaazi wa eneo hili ni Wachagga wa Kibosho japo siku hizi kuna wapare wengi na makabila mengine kama wasambaa na hata wahaya(wengi ni wajenzi).

Kijiji cha Singa kimegawanyika sehemu maeneo matatu,Singa juu, Singa kati na Singa chini. Sehemu zote zimeunganishwa na barabara kubwa inayoenda Kibosho mission.

Kijiji hiki kilikuwa na kila kitu miaka hiyo.
Kilikuwa na kina huduma zote za kijamii kama Shule za msingi, shule za sekondari vyuo mbalimbali, hospitali na hata nyumba za ibada (kasoro msikiti)

Kijiji kilikua kinalima mazao mbalimbali pia. Kilikua na basi kubwa la abiria maarufu kama Ndewedo.

Kijiji hiki kina historia kubwa sana kiroho,kwani wajenzi wa kanisa la Kibosho walifia kwenye mto unaoitwa Nsoo na kuliwekaa msalaba kama kumbukumbu, kila mwaka kulifanyika ibada eneo hilolakini msalaba huo ulivunjika miaka ya 2003 na haukurushwa tena.

Kuna eneo linaitwa "Odaa" lina historia ya kushangaza sana (kuna kitabu cha historia ya hapa).

Kijiji kilikuwa na sifa zote ujuazo lakini kwa sababu ya utendaji mbovu mbovu wa serikali basi kimefilika kwa sasa.

Jambo la kushangaza pamoja na yote lakini hakuna kituo cha polisi hata kimoja na bado barabara yake mpaka leo haina lami japo ndio inayopitisha wagonjwa mbalimbali, dawa na mizigo inayokwenda hospitali ya Kibosho na kanisa Katoliki Kibosho.

Serikali na wadau wanakwama wapi kujenga kituo kidogo cha polisi? Kuna majumba makubwa ka mahekalu lakini kituo cha polisi hakuna.

Kijiji gani zaidi ya hiki Tanzania?
Mada yako nzuri ila ulivyoilaimalizia kuna wenye mawazo ya kukusaidia wanaweza kuacha...
 
Back
Top Bottom