Sinema: Onana akipiga goli kama Christiano Ronaldo

Kama Simba na mashabiki wake tutaendelea kua vipofu Kwa sababu tu ya ushindi wa bahati bahati.


Basi Mechi ya Marudio na Yanga Lig kuu, Jamaa watatupiga Goli nyingi sana kuzidi hata zile 5.


Simba mwanzo mwisho anacheza huoni km ana plan ya kutafuta goli, goli za Simba ni Penati, Faulo, na Bahati mbaya yaan imetokea pigapiga goooo.
 
Pira papatupatatu mkishonwa 5 msije sema mmelgwa!!.
 
Naunga mkono hoja
 
Mkuu unataka shabiki wafanyaje? Wapange kikosi? Au wasajili? Maboresho ya kikosi ni kazi ya bench na uongozi. Sisi kazi yetu ni kuanikiza.

Halafu kusema magoli ni ya bahati mbaya, hiyo kadanganye kina dada. Hilo goli la Onana ni bahati mbaya? Kapombe anapiga cross Luis anaunganisha, wewe unasema bahati mbaya? Wape wanachostahili, wamejitahidi
 
We nawe ni shabiki wa Mnyama..?

Uko Wapi ,wenzio roho Kwatu tunashangilia.... mbona Umepotea Kama Utopolo...?

Hakuna Kubebwa kama Mlivyobebwa Mechi na Jamus..!

Goli 2 saafi za Kideoni...!

Ibuka tuishangilie hii Zawadi Ya Kumalizia New year.!

Simba Wamejua jinsi ya kutupa New year Gift...!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…