Kuna movie ya Vyeti nasikia Inarudiwa au UK....taNimeona trela tu yutyubu. Kuna muvi mpya ya wakimbizi
Ya mashoga imebuma...series yaja ya mashoga

Duh! Sijui sasa itakuja ipi? Bora wawe wanatuchanganyia hivi hivi ili tusahau matatizo.
kweli kabisa