ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,877
- 3,285
Yani humu mpaka vichaa wapo mtihani kweli,kama wew sio kichaa kwann usimuombe mungu na kuyaondoa mawazo ya kimapenzi mpaka udungwe masindano inamaana dozi ikiisha unakuwa kama mwanzo si uteja huo nina mashaka na imani yako.