Sina taarifa ya kutoa hadharani, Kauli za Viongozi wakuu na Wagombea zatosha

Ben Saanane

JF-Expert Member
Jan 18, 2007
14,581
18,124
Naandika kukanusha uvumi,uzushi na ungo uliosambazwa kwamba mimi Ben Saanane na Afisa Habari wa Chama Chetu tutawatangazia mwelekeo wa msimamo wa chama kuhusiana na matokeo ya uchaguzi mkuu.

Mimi binafsi(Sitamzungumzia mwingine),Napenda kuweka kumbukumbu sawa . Sina mamlaka ya kutoa msimamo wa chama katika suala hili.Ingekuwa suala la kisera na kiutafiti ningekuwa na mandate ya kusema.Tuna nidhamu na Itifaki...!

Viongozi wakuu wa UKAWA wameshasema na watasema kwa niaba ya UKAWA

Kauli ya viongozi waKuu na Mgombea Urais wa Muungano Edward Lowassa na Mgombea Urais Zanzibar Maalim Seif inatosha na itatosha

Maoni binafsi nitayasema kupitia page yangu bila woga kama ambavyo nimekua nikiyasema kupitia page yangu na mitandao,Mikutano ya hadhara,magazeti na vyombo vingine vya habari bila hofu

Uzushi wa kuhusisha jina langu unafanywa kwa makusudi maalumu.Ni mkakati tu....

It's amazing how malicious,Vicious,bitter and ridiculous some people can be.

Tusitoke nje ya Mstari katika struggle hii.

Haki ya Watanzania Kwanza.Wazanzibari walindiwe haki yao.Tuwe tayari kuilinda Demomrasia muda wote

Aluta continua,Victory Ascerta...

Ben Saanane
 
Good. Wamekusikia vizuri sana. Bora ingekuwa wanajua kutega masikio na kuangalia kwa umakinia kwenye miwani yao ktk kulinda rasimali za nchi hii kuliko kujishughulisha na trivial issues kwa maslahi binafsi.
 
Naandika kukanusha uvumi,uzushi na ungo uliosambazwa kwamba mimi Ben Saanane na Afisa Habari wa Chama Chetu tutawatangazia mwelekeo wa msimamo wa chama kuhusiana na matokeo ya uchaguzi mkuu.

Mimi binafsi(Sitamzungumzia mwingine),Napenda kuweka kumbukumbu sawa . Sina mamlaka ya kutoa msimamo wa chama katika suala hili.Ingekuwa suala la kisera na kiutafiti ningekuwa na mandate ya kusema.Tuna nidhamu na Itifaki...!

Viongozi wakuu wa UKAWA wameshasema na watasema kwa niaba ya UKAWA

Kauli ya viongozi waKuu na Mgombea Urais wa Muungano Edward Lowassa na Mgombea Urais Zanzibar Maalim Seif inatosha na itatosha

Maoni binafsi nitayasema kupitia page yangu bila woga kama ambavyo nimekua nikiyasema kupitia page yangu na mitandao,Mikutano ya hadhara,magazeti na vyombo vingine vya habari bila hofu

Uzushi wa kuhusisha jina langu unafanywa kwa makusudi maalumu.Ni mkakati tu....

It's amazing how malicious,Vicious,bitter and ridiculous some people can be.

Tusitoke nje ya Mstari katika struggle hii.

Haki ya Watanzania Kwanza.Wazanzibari walindiwe haki yao.Tuwe tayari kuilinda Demomrasia muda wote

Aluta continua,Victory Ascerta...

Ben Saanane

...nadhani kazi iliyopo mbele yenu ni kuwakumbusha wanachama; wajue wajibu wao kwenye kupiga kura kwa wingi hata kwenye chaguzi nyingine zinazofuata, pamoja na yote yaliyotokea.
Wabunge wa upinzani bado wanahitajika sana bungeni, ni vyema tuunganishe nguvu zetu kuwapigania waliokuwepo pia kuongeza nguvu kwenye kupata wengine zaidi.
Angalau kura zetu kwenye upande wa ubunge zinaonekana matunda yake
TUSIKATE TAMAA.!
Tusimuachie fisi bucha..!!
 
Cha ajabu mafisiem ndio yamekuwa mstari wa mbele kusambaza huo ujumbe ili kutufitinisha....I say UKAWA kwa ukombozi wa Tanzania.
 
Naandika kukanusha uvumi,uzushi na ungo uliosambazwa kwamba mimi Ben Saanane na Afisa Habari wa Chama Chetu tutawatangazia mwelekeo wa msimamo wa chama kuhusiana na matokeo ya uchaguzi mkuu.

Mimi binafsi(Sitamzungumzia mwingine),Napenda kuweka kumbukumbu sawa . Sina mamlaka ya kutoa msimamo wa chama katika suala hili.Ingekuwa suala la kisera na kiutafiti ningekuwa na mandate ya kusema.Tuna nidhamu na Itifaki...!

Viongozi wakuu wa UKAWA wameshasema na watasema kwa niaba ya UKAWA

Kauli ya viongozi waKuu na Mgombea Urais wa Muungano Edward Lowassa na Mgombea Urais Zanzibar Maalim Seif inatosha na itatosha

Maoni binafsi nitayasema kupitia page yangu bila woga kama ambavyo nimekua nikiyasema kupitia page yangu na mitandao,Mikutano ya hadhara,magazeti na vyombo vingine vya habari bila hofu

Uzushi wa kuhusisha jina langu unafanywa kwa makusudi maalumu.Ni mkakati tu....

It's amazing how malicious,Vicious,bitter and ridiculous some people can be.

Tusitoke nje ya Mstari katika struggle hii.

Haki ya Watanzania Kwanza.Wazanzibari walindiwe haki yao.Tuwe tayari kuilinda Demomrasia muda wote

Aluta continua,Victory Ascerta...

Ben Saanane

Unajikosha ushapotea mjomba
 
Back
Top Bottom