heeee!!!! sa ulitaka ifanyia nin???
ah ah ah ah ah ah ah ah ah!!!!!!!!! hebu elezea vizuri sijakuelewa ujue!
Mbona umechelewa sana mama? Mimi wiki mbili zimepita sasa walinitumia 42,000 na ninaefanyanae kazi katumiwa 100,000. Yeye kaniuliza nikamjibu labda mtu kakosea, kuangalia na mimi nakuta 42,000. Ukiangalia alietumia ni tigowakala.... Kula tu ni haki yako....
ladyfurahia hujiulizi kwanini mtende unastawi jangwani?? Ni bahati yake iyo....nyie kuweni makini msikute mambo mengine hayo unakula hela usiyoitaabikia jamani?
mwenzio sijui naumwa nashangaa mwili wamotooooo mpaka nimeondoka kazini yani! !
ladyfurahia hujiulizi kwanini mtende unastawi jangwani?? Ni bahati yake iyo....
I think itakua malaria...
naogipa sindano miyeeeeeee
yaani ndio naogopaje hapaa....
uisiogope kwani tigopesa siku hizi wanadai kuwa ukiweka pesa kwenye tigopesa na ukiwa mara kwa mara unaweka na kuondoa wao wanakupa bonus ya kiasi fulani kwenye akiba yako kwenye tigopesa ila ni vizuri kwenda makao mkuu ya tigo kuwauliza kwamba wanazo hizo bonus?
Enheee mlijifunza nini kuhusu huyo mfalmejana chachi tulijifunza somo linamhusu mfalme daudi..