Sina raha na dunia hii tena

Sina raha na dunia hii tena

Tatizo tukiachana ananitumia text za kutishia kujiua kiukweli huwa naogopa sana namuomba yaishe tunarudiana tena upya
Hahahahahaha mkuu mkwara huu umenikumbusha 3yrs back kuna dada mmoja tulikua kwenye uhusiano. Ikatokea time nilimchoka na kugundua sio mtu sahihi kwangu so i had to tell her truth kwamba bidada naomba tuachane. Akauliza nini shida ukweli sikua na kitu cha kumueleza akanielewa ila i was honest to my heart kwamba simuhitaji huyu dada nisimfunge na sina mpango wa kumuoa so better tuachane. Alilia sana that day ikabidi nimbembeleze sana anyamaze lkn huku nikiwa nimeshikilia msimamo wangu wa kuachana. Nikamuaga nikasepa home. Aisee usiku sikulala zilikuja txt hizo za kuomba tuendelee kidume nikakaza ila txt ya mwisho ilikua inatisha. Aliandika bonge moja la barua kuhusu relationship yetu mwanzo mpk siku hiyo na aka-conclude anajiua akaniaga pale kwa mara ya mwisho. Halafu akazima simu. Usiku ulikua mrefu aisee siku ile. Asubuh kama sa 3 nikapigiwa simu na jirani yake ambae alikua ananifaham anadai huyu mtu hali yake mbaya mnooo anatapika it seems km kala kitu kimemdhuru. Ikabidi niende nikamkuta yupo kitandani km hajitambui fulani hivi. Baada ya mda nikamuuliza nini shida anajibu ooh i can't live without u. Nikamwambia ok fine let's move on. Maisha yakaenda ila still nikajiona km sina amani na ule uhusiano, km najilazimisha simpendi kwa dhati nipo kwasabab ya kumnusuru alitaka kujiua na kila niki-recall ile situation yake ya kujiua nikaja kugundua ilikua maigizo altho alijitahidi kutapika tapika kweli. Kidume nikajitosa tena mara ya pili nikamwambia ukweli bidada ee this relationship mi naona kama najilazimisha so tuachane tu for good. Eeh akaanza kulia na usiku akanitumia tena wosia wake. Nikamjibu hivi "Tubu kwanza kwa mola wako kabla ya kufanya hivyo, nakutakia kifo chema na after all huwezi kuwa unanipenda kweli, kama huipendi nafsi yako mwenyewe mpk unafikia hatua unapata ujasiri wa kujiua si kuna siku utaweza kuniua hata mimi ?"
Three yrs now yupo anaendelea kuishi na mi naishi kwa amani na maisha yangu. So kijana usiendelee kuwa kwenye mahusiano kisa mwenzako anataka kujiua na ww unafanya kumstili tu huo ni utumwa wa hali ya juu. Chukua hatua mpe go ahead akajiue na we fanya yako ya msingi.
 
Hata ukifeli sawa tu... kwanza hata ukisoma ajira hakuna...
 
dah umenifurahisha ila nimekuelewa sana kiongozi
 
Safi sana... acha shule ufanye mapenzi... maarifa hata chini ya mnazi unaweza yapata...
hapana natafuta maarifa ya kukaa darasani na hayo ya chini ya mnazi napata pia so haina maana kuacha shule
 
Sasa unataka ushauri wa nini... acha ubishi... acha shule ufanye mapenzi... si unajua kupenda sana...
 
Utavuna unachopanda.......siku ukimmimba uombe ushauri pia
 
We vipi lakini? unajifanya unajua sana kupenda eti? we tuulize sisi yalotukuta acha ujinga soma fuata yaliyokupeleka na yatakayokupa maishavya baadae huyo huyo unayedhania kuwa anakupenda kumbe ndio anakusaliti daily.ndio utamfumania kesho na mwanaume mwingine.kikubwa we jipe moyo fanya pepa usibez sana kwenye mapenzi utafeli kimasomo na kimaisha pia. shauri yako
 
Habari wakuu , naombeni ushari juu ya hili suala kwasababu naona naelekea kupotea toka nimpate huyu msichana performance yangu ya chuoni imepungua mno, pili tumekuwa tukigombana kila siku , tatu nyumbani walishanikaza nisiwe nae niachane nae maramoja ila ikitokea tunaachana ucku basi tunapatana asubuhi hakuna hata mmoja anayekubari kumuacha mwenzie japo ugomvi unakuwa mkubwa mno nashindwa kuelewa hii misukosuko inayonipata tangu niwe na huyu msichana naombeni ushari ndugu zangu yaan hapa kesho nina pepa mbili lakini naenda kuzisitisha kwa kukosa Moody ya kusoma nahisi ntafeli tena naombeni nisaidieni nitoke kwenye kifungo hichi jamani ,
Watu wengine sijui mmeumbwaje yaani!! dah!! mpaka nashika na hasira japokuwa sio mimi. yani hili jambo ndo la kuomba ushauri? kweli? wewe ni dhaifu ki maamuzi halimashauri ya kichwa chako iko empty
 
Habari wakuu , naombeni ushari juu ya hili suala kwasababu naona naelekea kupotea toka nimpate huyu msichana performance yangu ya chuoni imepungua mno, pili tumekuwa tukigombana kila siku , tatu nyumbani walishanikaza nisiwe nae niachane nae maramoja ila ikitokea tunaachana ucku basi tunapatana asubuhi hakuna hata mmoja anayekubari kumuacha mwenzie japo ugomvi unakuwa mkubwa mno nashindwa kuelewa hii misukosuko inayonipata tangu niwe na huyu msichana naombeni ushari ndugu zangu yaan hapa kesho nina pepa mbili lakini naenda kuzisitisha kwa kukosa Moody ya kusoma nahisi ntafeli tena naombeni nisaidieni nitoke kwenye kifungo hichi jamani ,
Wazazi na ndugu wanafahamu zaidi kuliko wewe huyo ni shetani anayetaka kukuharibia future yako wasikilize nduguzo
 
Back
Top Bottom