Umeongea kitu nimekuelewa sana kwa sasa najitahidi kuanza maisha mapya ya kupambana na maisha naomba Mungu aniongoze katika hiliThamani katika mahusiano kwa mtu umpendae ni kbwa sana, hata ikitolea mnagombana basi haipiti Siku mnakuwa mshapatana.
Licha Ya Ukubwa huo, lakini Thamani ya Maisha yako ni Kubwa kuliko mahusiano Uliyonayo. Ni upuuzi na Ujinga wa kusitisha kufanya kitu muhimu ambacho kinaweza kuja kukuinua Hapo baadae eti kwasababu ya Mwanamke.
Mwanamke ambaye kesho na kesho kutwa anaweza kukuacha
mwanamke ambaye anaangalia upi ni udhaifu wako ili aendelee kukutawala.
Mwanamke ambaye inawezekana tayari ana mwingine lakini kwasababu ya Upuuzi unaendelea kuburuzwa tu....
Amka na Simama katika Kuitafuta pesa, kama Ugomvi tu unasitisha kufanya mitihani.. Je Ukiachwa si ndio Chuo Utaacha kabisaa...???
Tatizo tukiachana ananitumia text za kutishia kujiua kiukweli huwa naogopa sana namuomba yaishe tunarudiana tena upya
naona immaturity itakua inawasumbua, inaonekana mnagombana kwa vitu vya kipuuzi ambavyo havina hata impact kwenye maisha, ninachoona hapa jaribuni kuwa watu wazima kidogo, kama itashindikana achana nae ufuate masomo yako ukikomaa kiakili tafuta gf ambapo nadhani mtakua mnagombana endapo kutakua na serious issue tuHabari wakuu , naombeni ushari juu ya hili suala kwasababu naona naelekea kupotea toka nimpate huyu msichana performance yangu ya chuoni imepungua mno, pili tumekuwa tukigombana kila siku , tatu nyumbani walishanikaza nisiwe nae niachane nae maramoja ila ikitokea tunaachana ucku basi tunapatana asubuhi hakuna hata mmoja anayekubari kumuacha mwenzie japo ugomvi unakuwa mkubwa mno nashindwa kuelewa hii misukosuko inayonipata tangu niwe na huyu msichana naombeni ushari ndugu zangu yaan hapa kesho nina pepa mbili lakini naenda kuzisitisha kwa kukosa Moody ya kusoma nahisi ntafeli tena naombeni nisaidieni nitoke kwenye kifungo hichi jamani ,
i don't followHmm...let me see.
Hopeless romantic much? Maybe...
Puppy love syndrome? Could be...
Nevertheless, with the passage of time the dopamine will fade and you'll come to your senses.
Just hope it's not too late when that comes to pass.
Assante kwa ushauri wako nimeupendaUnatumwa kusoma shule unaendekeza mapenzi....! Wazazi washakuambia achana na hayo mambo kama ulivyokiri wewe bado tu. Sasa wazazi wameshindwa unadhani tutaweza sie kweli...? Ushauri wangu embu achana na kuchanganya shule na mapenzi. Kumbuka shule ni miaka miwili au mitatu umemaliza, lakini mapenzi yapo tu yanakusubiri kwa hamu na kwa muda mrefu. Please, mnatia hasara wazazi namna hii
Hayo ni mapenzi au vurugu hizo. Sasa we si unajua unazuga tu kwake, yanini kushindwa kusoma?Tatizo tukiachana ananitumia text za kutishia kujiua kiukweli huwa naogopa sana namuomba yaishe tunarudiana tena upya
Aisee, kumbe ni hivyo! Mbona raisi sana? Akikutumia hizo meseji za kutaka kujiua mwambiye akuambie ni njia gani anatumia kujiua ili ukakae karibu naye uone akifa.
Angalia kijana;
Hukuzaliwa na huyu mwanamke, ulimkuta ukubwani. Hukujua ungelimpata, ukajikuta siku moja unamvua nguo zake. Hukuwa wa kwanza kwake, yawezekana weye ni wa 10. Elimu yako ndio ufunguo wa kuwapata wengine 10 baadaye tena warembo kuliko huyo na wenye kukuheshimu kuliko huyo. Sasa, weye chezea nafasi hii ya dhahabu ulio pata mara moja tu, halafu uone mwisho wako.
Nakutabiria; Utakapofukuzwa chuo, atakuacha, atavuliwa nguo zote mbele yako kwa ridhaa yake, huku akikuambia; Usinijue jue. Kijana. pambana na masomo acha kulilia mapenzi. Wakati wako bado haujafika
kuachana kunamaumivu makubwa yanayokuwa na uwiano wa jinsi mlivyokuwa mnapendana lakini ni bora kuachana kama uhusiano huo hauna matokeo mazuri nahauna baraka za upande mmoja au pande zote za familiaKakubari kuachana namimi ila kasema atakuwa anawasiliana na mm kama kawaida
Assante ndugu yangu nimekuelewa vizurikuachana kunamaumivu makubwa yanayokuwa na uwiano wa jinsi mlivyokuwa mnapendana lakini ni bora kuachana kama uhusiano huo hauna matokeo mazuri nahauna baraka za upande mmoja au pande zote za familia
You only need to grow the hell up! Get a grip and grow some balls.Habari wakuu , naombeni ushari juu ya hili suala kwasababu naona naelekea kupotea toka nimpate huyu msichana performance yangu ya chuoni imepungua mno, pili tumekuwa tukigombana kila siku , tatu nyumbani walishanikaza nisiwe nae niachane nae maramoja ila ikitokea tunaachana ucku basi tunapatana asubuhi hakuna hata mmoja anayekubari kumuacha mwenzie japo ugomvi unakuwa mkubwa mno nashindwa kuelewa hii misukosuko inayonipata tangu niwe na huyu msichana naombeni ushari ndugu zangu yaan hapa kesho nina pepa mbili lakini naenda kuzisitisha kwa kukosa Moody ya kusoma nahisi ntafeli tena naombeni nisaidieni nitoke kwenye kifungo hichi jamani ,