Sina raha na dunia hii tena

Sina raha na dunia hii tena

sawa
Mkuu na umwamba wangu wote kwenye makaratasi nilikuwa naona kabisa dalili za kudhalilika achana na hao wadudu wewe mpuuze tu mbona utaenjoy maisha sana
mkuu Mungu akubariki asee
 
Habari wakuu , naombeni ushari juu ya hili suala kwasababu naona naelekea kupotea toka nimpate huyu msichana performance yangu ya chuoni imepungua mno, pili tumekuwa tukigombana kila siku , tatu nyumbani walishanikaza nisiwe nae niachane nae maramoja ila ikitokea tunaachana ucku basi tunapatana asubuhi hakuna hata mmoja anayekubari kumuacha mwenzie japo ugomvi unakuwa mkubwa mno nashindwa kuelewa hii misukosuko inayonipata tangu niwe na huyu msichana naombeni ushari ndugu zangu yaan hapa kesho nina pepa mbili lakini naenda kuzisitisha kwa kukosa Moody ya kusoma nahisi ntafeli tena naombeni nisaidieni nitoke kwenye kifungo hichi jamani ,
"Mdogo wangu kupenda ni bure ila ukitaka uuziwe utauziwa tu, jaribu kusoma kwanza huyo binti hamkuzaliwa wapenzi na siku zote Mkubwa hakukosea kukwambia uachane nae lakini una nafasi nzuri nyingine "
 
Tatizo tukiachana ananitumia text za kutishia kujiua kiukweli huwa naogopa sana namuomba yaishe tunarudiana tena upya

Mshana jr. Kijana ana matatizo huyu anahitaji msaada wako wa haraka ingawa wengine wanasema tuko wengi akiondoka mmoja si hoja!!
 
Huwezi kumuacha coz ana rangi nzuri au matko makubwa?Au atachukuliwa na mabraza men au unahisi kafanana na dadako?

Acha uboya temana nae.Be a man.
 
Be strong mtoto wa kiume wewe. Sometimes inabidi iwe na roho ngumu kufanya maamuzi magumu. Sikia kijana Fanya kile wazazi wako wamekwambia. Jenga maisha yako kwanza

Tafakari chukua hatua
 
Tatizo mkifika Shule mnaanza maisha ya familia badala ya kusoma. Masomo ni muhimu zaidi kwako kwa sasa.
 
Angalia lililo bora pia fanya lisiloweza kusubiri,kama shule muhimu fanya shule nakama binti muhimu fanya binti
 
kama hutaki kuachana naye unaomba ushauri wanini we si uendelee naye maana unapenda hizo shida
 
Mkuu hiyo hali mimi ilinipata kipindi nafanya masters shule ilikuwa ngumu halafu binti anataka kukaba mpaka penalt aiseeee niliambiwa chagua kudhalilika shule au kuendelea na msichana wako nikaona kabisa shule ndio kila kitu now nakula kuku wanakuja kama kumbi kumbi
Una mastars ya nini?
 
Back
Top Bottom