Sina mtu! nataka mtu?


una mtu.
Lakini hii haikuzuii kuangalia kama mtu uliye nae ana mpango wowote na wewe au lah.
Pengine kuondoa mkanganyiko huu ni bora kama ukiona haeleweki ukaachana nae mapema hili ujue kabisa wewe ni single.

Lakini kumkubalimwingine wakati ujavunja mahusiano ya zamani pengine ni un fair na inaweza ikakuletea tatizo.
 
Dah, kisa hajajitambulisha ndio umkane? Then ukishamkana unamkubali wa pili? Wa kwanza utapiga chini au inakuaje? Au list itaendelea na mzigo watapiga hadi mmoja wao ajitambulishe kwenu? Kwanini usichukue hatua ya kuhoji uelekeo wa uhusiano?
 
Mmmh hiyo ilikuwa no ingine kaka

haikuwa 'NO' kwani mbona niling'oa mzigo ......

ujue mara ya kwanza niliingia kwa gia kwamba nimemuelewa so nimefika bei nataka nijitwishe mzigo mazima

ila pindi maongezi yalivyokuwa nikaja realize hakuwa tayari kwa aina hiyo ya mahusiano japo hata yeye alinielewa na ndomana alinipa hata hio chance ya kudiscuss haya maswali tena ilikuwa mbali na home and was usiku mnene

na kama unavyojua mwanaume wa kweli ni kama amesoma psychology so baada ya kugundua anataka nini nilichofanya ni kwenda sawa naye...

mimi: i can replace or be such somebody..what do you think about it?

msichana : i don't think so! ujue 'J' kila nikikusikiliza naona kabisa unanipenda na hata macho yako yanaonesha ..you are in love with me...na mi siko tayari kwa sasa with these relationship stuffs....sijui kupigiana simu uko wap? unafanya nini ? mbona simu, meseji yangu hujapokea, hujanijibu au mbona unatembea sana na huyu na wivu mwingine wa kijinga

mimi: its just the matter of agreement ,if you dont want all of those ....you don want ....so why nikulazimishe kufanya kitu usichotaka i promise you havitatokea hivyo vitu and on top of that i know how to behave in a relationship like this so don't tell me what i suppose to do while i know the duties and responsibilities of mine

msichana: so you tell me you know that will be between me and you...
 

hebu tuone kwanza structure ya kupendana ikoje!

friendship... 1

courtship.... 2

marriage.... 3

family..... 4.

sasa Smile hebu niambie,

uko wapi kwa mfano kwa jinsi ulivyoeleza wewe na unataka ku-move kwenda wapi?
 
Last edited by a moderator:
Umesalimika Smile??

Unatupa shida sana mimi na bibi yako....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nipe status yako Smile, nipo tayari kutoka point zero
 
Last edited by a moderator:

Sasa sisi yanatuhusu nini haya?
 

Kweli aisee hapa hauna mtu....
 

fanya kama wanawake wenzako. Ukitokewa na mtu ambaye humtaki, mwambie una mtu.
Ukitokewa na unayemtaka mwambie huna mtu, unasubiri mtu ambaye yuko tayari kuchumbia.
 
Hatariii aisee ungekua karibu yangu nngekupiga ngumi jiwee! Unahalalisha duh

hahaha hiyo ngumi ungempiga nani wakati tayari nitakuwa nilishakutongoza na umeshaanza kulainika lol. na tena kama hiyo avatar yako ndio wewe loh
 
Haaaa haaa Majombaz bana! Le Baharia yuko na Totoz wa Ukwwweee! Aliyenyokaz.

Majuuu mtasubiri sana.
ahahaaa hivi harusi lini? nasikia vodacom na aiirtel wanagombania udhamini wa hiyo harusi teh teh le mutuz noooma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…