Sina mtu! nataka mtu?

mabinti wasiojielewa wanaongezeka kwa kasi.,..
 
nicas hana hata girlfriend ! Labda kama kawekwa ndani na jimama

Kweli sina hata girlfriend. Naapa sina kabisa. Nina mke mmoja tu wa ndoa tena ndoa iliyo takatifu............. Bado siruhusiwi kuchangia mada hii?
 

ila mbona wengine huwa wanasema ukweli kabisa......mi nakumbuka nilipokuwa chuo nikakutana na msichana fulani na katika kutongozana akanitamkia bila kumung'unya maneno ilikuwa ivi (just part of conversation)

mimi: una mtu?

msichana :sina mtu

mimi: how come binti mzuri kama wewe unakosa mtu and unaishije kwa kukidhi haja zako .

msichana : kutokuwa na mtu haimaanishi sifanyi s.e.x

mimi: ehhhhe!

msichana : yah sina mtu kwa sasa na wala siko kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sasa but i just f.u.ck somebody

mimi : somebody!?

msichana : yah somebody ...ni mtu ambaye ikitokea mimi nina hamu na yeye anahamu na wote tukawa nanafasi basi tunatoka kwa ajili ya s.e.x ila sio mahusiano
 
nimekumiss sana msuper baby wangu..uje basi hii holiday nikupeleke mgombani ukanywe mbege na mbuzi!

Aaah mbebs mi nikinywa mbege ntaharisha bana.

Niandalie Alizé au Pinot Grigio.
 
Cheka na nyani, utavuna mabua.

Anayekuwepo kama hayupo na lake halipo. Hapo ni huna mtu!
 
ahahaaa hizo bush hakuna bwana,halafu mbege yetu haina bacteria bwana..

Si kheri hata ingekuwa na bacteria. Hiyo ina virusi kabisa. Staki kuharisha bana.

Kama vipi twenzetu Kempiski.
 
Mmmh hiyo ilikuwa no ingine kaka
 
si kheri hata ingekuwa na bacteria. Hiyo ina virusi kabisa. Staki kuharisha bana.

Kama vipi twenzetu kempiski.
mi sitaki kukaa town bana ...nataka bush au twende kwenu gamboshi
 
cheka na nyani, utavuna mabua.

Anayekuwepo kama hayupo na lake halipo. Hapo ni huna mtu!
ndo maana nakupenda mamaa zombie? Mtu utakuwa nae umemuumba au ? Watu anao mungu tu!
 
si kheri hata ingekuwa na bacteria. Hiyo ina virusi kabisa. Staki kuharisha bana.

Kama vipi twenzetu kempiski.
mbeb endelea kutafuta location mi ngoja nilale kesho naenda kupiga signature ya mwisho job.kuna watu hawataki niondoke wananiletea vimeo kibao nataka nivipangue nitakupm jtano nikiwa free maana kesho nakesha huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…