Sina mashaka na Rais Samia Suluhu Hassan

Ni siasa za wanaojua huyo DPW anakuja kuharibu kabisa ulaji wao hivyo hawawezi kumsema kwa mema.
Hao sio watanzania ? Tusiangalie nani anasema bali anasema nini na kama anachosema kina mashiko...
Uzuri wa Samia ana misimamo ile ile ya kina JPM, huwezi kumtetemesha hata kidogo.
And that is a good Thing ? Last Time I checked Tanzania sio Monarchy na haiendeshwi kwa matakwa ya mtu bali kwa kusikilizana na kushauriana na kwa hili sauti za pande zote ni kubwa hivyo sio la kupeleka kwa matakwa ya mtu bali watu.... (Hii nchi sio ya Mtu, ni ya watu walio Hai, waliokufa na vizazi vijavyo)
 
Back
Top Bottom