sina mapenzi

Do U have a tormenting childhood experience? Have u ever witnessed any love affair that ended too miserable to remember? Did your parents have a good marriage relationship? Have u ever been abused?
Nijibu hayo kwanza..
 
kama akili yako iko fresh then nitakuwa na wasiwasi na unachomaanisha ukizungumzia neno kupenda! kupenda is just taking care of someone, mdogo wako mwenye umri wa miaka 5 katoweka mtaani haonekani huwezi hata kuhangaisha akili kutaka kujua yuko wapi kimempata nini na kwa nini, mama yako mama yako kapatwa na tatizo huwezi kufikiria kumsaidia au rafiki yako wa karibu?? if you can do that then ulishapenda sana 2 bila kujua
 
jaribisha kupendwa unaweza kuta ndo maisha yako yanataka hvyo si umemuona elton john.
 
Tafuta wa ukweli halafu mwenyewe utaona.Kama unarukia vibaya vibaya huo ugonjwa utaendelea kuwa nao maisha.Fanya hivyo wa ukweli mwenye mvuto uone mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom