Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,350
Nyie mnaomlaumu mshkaji sio kwamba anamchukia la hasha! Mimi ni mhanga was Jambo linafanana na hilo Sana lkn Mama yangu alifariki nikiwa na 3yrs kwa hiyo Sina kumbukumbu naye na naona matukio tu kwenye picha. Mzee wetu alioa tena. Mama mlezi alitulea vizuri tu bila issue lkn binafsi yangu simjui mtu yeyote toka kwa upande wa mama, sijawahi muona ht akija home ingawa tukienda kilaji Kuna mjomba alikuwa anakuja home alikuwa mkorofi halafu baba mdogo always alikuwa akimuonya kuhusu Mambo ya ushirikina kuhusu kutudhuru Sasa hatuna bond yoyote na upande wa mama. Halafu kutokana na hi situation. Kikubwa hapa jamaa anamuona mama yake km stranger tu hayupo moyoni.