Anamchoresha vipi ikiwa mama mwenyewe hatumfahamu? Iyo inakuwa kama movie story tu, haina shida!Kwann mnapenda kuweka personal/family issue public??
Unamchoresha tu mama yako
Unamfaham mleta mada? Au Mama yake?Kwann mnapenda kuweka personal/family issue public??
Unamchoresha tu mama yako
Haya tuambie mama yake ni nani?Kwann mnapenda kuweka personal/family issue public??
Unamchoresha tu mama yako
Tabu hizi! Kuna mahali mtoa mada ametaja jina au anuani ya huyo mama yake? Jamii Forums ni kisima cha maarifa. Acha watu waongee mkuu.Kwann mnapenda kuweka personal/family issue public??
Unamchoresha tu mama yako
Umesema kw uchungu sana na amtengenezee uzee mwema mzazi wake huyu.Wewe ni mtu mzima sasa. Kumbuka maisha mama aliyoyapitia, stress alizonazo, wewe ndie mtu wa kumfariji, kumwondolea concepts alizonazo. So unataka yeye ndie akutafte???? Be mature make your mother happy with you. Take trouble to settle any ill concepts alizonazo. Think maturely.
Ulitaka akazisemee ziwani? By the way unamjua mhusika physically?Kwann mnapenda kuweka personal/family issue public??
Unamchoresha tu mama yako