Boundaries boundaries mkuu.Ndugu yetu huyu 🤣 anywe japo kidogo ndipo aache.
Mimi sikuwai kunywa kabisa na nisinge kunywa kabisa Ila Maisha yalinishepuu
Baadae nikaanza kunywa Ila Mimi nipo na control sitawaliwi na pombe.
Sawa mkuu nimekuelewa.Boundaries boundaries mkuu.
Shindikanaa bangi haipendi kelele na vipengele🤔Eeeeh ndo bangi inavutwa hivyo!!!
Bro umeamka?Boundaries boundaries mkuu.
Nimeamka an kuandika treatise on democracy tayari.Bro umeamka?
Sure bro , mimi nimeshtuka nakuanza kupiga vitu , binafsi naona niache pombe siku pombe itakua seriously kuharibu maisha yangu na afya tu bro🤔Nimeamka an kuandika treatise on democracy tayari.
😂Hii comment aisome Raisi wetu wa ma jobless pro max Intelligent businessman
Nakala kwa makutupora , Bolotoba
Kula Castle light mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣Shindikanaa bangi haipendi kelele na vipengele🤔
mambo ni moto sana!Apostle NINI KIMETOKEA IN MWAMPOSA VOICE 🤣
ndio sasa sahivi najua nimepotea...🤣🤣🤣🤣🤣 kwani ulikuwa unatuamini?
😁mambo ni moto sana!
Shindikanaa wewe ni mkali wangu 😁😁🤣🤣🤣🤣🤣
Aaah basi nimeghairi.
Kaka bia za bei ndogo sana hizo🤣Kula Castle light mkuu
🤣🤣 pole sana.ndio sasa sahivi najua nimepotea...🤣
Tuache kwanza pombe.Shindikanaa wewe ni mkali wangu 😁😁