Sina imani tena na Chadema

Afadhali yako ambaye ulikuwa na imani nao, kwangu mimi sina na sijawahi kuwa na imani na chama cha upinzani chochote.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
lini ulikuwa na imani na chadema wewe?
Pumba zako tunazikumbuka.
Mbona unakuwa na mawazo kama ya kuku wewe? Eti wapigani bei ya pamba sijui nini! Kwani chadema ndiyo wanaongoza serikali?

nakuunga mkono sana, uyu ni kibaraka wa ccm anajitahidi kutuconfuse,
haoni miccm ilivyokuwa mingi bungeni na kupelekea kuwa ngumu kufanikisha mambo frm chadema lkn tuna akili na tunalielewa ilo,
tunawaamini chadema sana na jitihada zao kulikomboa taifa
 
Kimsingi kila anaetishiwa huwa anaenda polisi...polisi ya chadema ni umma.but huwa una pumba sana na hujawahi kuwa pipooz,ukapimwe akili wewe
 

safi sana nimeipenda hii, wape hao magamba wa ccm..
 
Chadema wananchi wanaitaji kujua mtawafanyia nini sio siasa zenu za matukio.
Maisha bora kwa kila mwananchi na kipigo kikali cha kufa mtu kwa kila anayepinga harakati za CCM kuwakandamiza watumishi!
 
JFM na wengine acheni ushabiki wa siasg bila macho.

Ivi mnyika na slaa ni muhimu kuliko wagonjwa wote wanaokufa leo kwa kukosa huduma. Mbona hawajawahi kuwaita waandishi kutoa msimamo wanatuletea maigizo humu.

Akifa mwanaharakati moja wanazariwa wengine 10. Acha waende watokee wengine wenye nguvu zaidi
 
Chadema kwisha kazi yake. Hawamalizi huu mwaka.

Unanikumbusha hadithi ya fisi aliekuwa anatamani mkono wa mtu udondoke ili apate mlo wake.

Kwa wasioifahamu hadithi hii nitawapa brief yake:

Mtu mmoja alikuwa anatoka safari ya mbali na akawa amechoka kutokana na urefu wa safari yake. Katika kujipa nguvu ya kutembea akawa anatupa mikono - maana mtu hatembei kama wale wanaocheza gwaride la kubana mikono/kutoa heshima. Fisi mmoja nae akiwa hoooi kwa njaa alimuona yule bwana akija na mikono yake ikiwa inatupwa kweli kweli. Fisi akaamini kuwa angalau mkono mmoja wa yule bwana utadondoka, kwa hiyo akawa anafuatilia nyuma nyuma. Kutahamaki, fisi kaingia kijijini na watu wakamshughulikia kikamilifu.
 
Matukio ni muhimu katika maisha. CDM keep it up, go ahead!
 

Ni miti inatafutwa kwa kuenda mbele
 
Hii ni hadithi ya fisi siku zote kudhani mkono wa binadamu u karibu kukatika apate mlo asijue kwamba ikono kuning'inia ndo asili yake na ataishia kutoa udenda tu. CCM uroho wenu wa fisi unawamaliza ndani kwa ndani

Chadema kwisha kazi yake. Hawamalizi huu mwaka.
 
Km huna iman na CHADEMA, vaa GAMBA au JI-CUF au ji-tlp/Ji-Geuze
Dhaifu we!
 
Uwe muelewa ndugu.cdm mbona walitoa msimamo wao kuhusu swala la ma dr.serikali yenu ya magamba ndo inapuuza.acha ushabik maisha ya watu hayo 2naongelea
 

Binafsi ninaamini kuwa ukombozi wa nchi na pia chama chochote hakihitaji kuwa na mwanachama mwenye fikra finyu kama wewe. Nakushauri hamia CUF au NCCR MAGEUZI ndivyo vyama unavyoona ni makini kwa kuungana na gamba lako.
 
Hata mie sina imani kabisa na CHADEMA.

Huku kwetu shamba wameshindwa kabisa kutuletea Sindano na nyuzi za kushonea.

Halafu Condom nazo tuliomba ila wamegoma kuzileta.

Juzi juzi Katibu Kata aliomba Mobile phones ili watu wawasiliane, na CHADEMA hadi leo hawataki kuzileta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…