Sina imani tena na Chadema

Kumbe cdm ndio inaongoza serikali? Kusanya sign za wabunge za kutokuwa na Imani na rais wetu Dr slaa
 
Kazi yako kulalama tu, tunataka uwe sehemu ya mabadiliko kwa kuhamasisha watu wajiandikishe na kupiga kura! Kwan chadema imeunda serikali lini? wanachoweza kufanya ni kuhamasisha wananchi wajue namna ya kutetea haki zao!
 
Kazi yako kulalama tu, tunataka uwe sehemu ya mabadiliko kwa kuhamasisha watu wajiandikishe na kupiga kura! Kwan chadema imeunda serikali lini? wanachoweza kufanya ni kuhamasisha wananchi wajue namna ya kutetea haki zao!


kwahiyo unaimani na

RV feki.
Vipimo vya ukimwi feki.
Acha ubwe.ge wewe.....CHADEMA ndio mkombozi wa hii nchi.
Hivi umesha kaa sikumoja ukaumiza ubongo wako kua bila CHADEMA hii nchi ingekua kwenye hali gani??...ooooh comeon man,
Tnesco na Dowans wangekua wamefikisha hili taifa wapi.
Vipi kuhusu meremeta,
kagoda je??
Buzwagi,
TRL
ATCL.
Acheni mzaha jamani ,na ujuha pia acheni.
 
Haina kweli wanachama wap,umbavu ila ina washabiki wapum.bavu kama wewe,ambae unashindwa kuheshimu mawazo ya wengne unajiona wewe ndio unajua kila kitu,heshimu mawazo ya watu changia kwa point sio matusi,

Mawazo au uharo?
 
"The mind is not a vessel to be filled but a fire to be ignited" so do not expect CHADEMA to come up with something to fill up your mind,see, think,take action. Mambo ya kutishiwa kwenye politics yapo. Na hakuna mtu yeyote anaeweza kukanusha hilo isipokuwa kwa amri ya mahakama na sio kama hizo pumba ulizotumwa uweke apo na wanaokununulia dagaa.
 
hawa jamaa wasipobadilika itakula kwao mazima,mana siasa zao sasa ni mauaji,vitisho na ukatili.

Mkuu popularity ya CDM inashuka kwa kasi, ni vema wajipange, ila hilo la mauaji wanapakaziwa
 
Hivi cdm watapigania vitu vingapi ndipo mjue wanampigania raia wa Tanzania?
 
Lini ulikuwa na imani na chadema wewe?
Pumba zako tunazikumbuka.
Mbona unakuwa na mawazo kama ya kuku wewe? Eti wapigani bei ya pamba sijui nini! Kwani chadema ndiyo wanaongoza serikali?

Mkuu Mungi,Jaribu kupunguza Jazba kidogo ili watu waelimike kupitia kwako!wewe ni mtu ambaye unaheshimika sana humu ndani na wengi wanategemea kuona matokeo chanya kutoka kwako na hasa majibu katika kujibu hoja za badhi ya watu ambao wanaonekana kwamba bado uelewa wao uko chini,lakini kwa majibu ya matusi namna hii mkuu itafika sehemu watu wataona na kutambua kwamba wanaoiunga mkono wametawaliwa na hasira,jazba na kila aina ya utukutu jambo ambalo pengine si sahihi sana!

Yawezekana Thread ya huyu mtu imekuboa,imekukera,lakini naamini kwamba utulivu wa akili yako na kisha ukatoa ufafanuazi mzuri na uliotulia kama ambavyo umekuwa ukifanya kwa wengine kungeweza kumsaidia huyu jamaa kuona makosa yake yalipo na hivyo kufanya marekebisho na kisha matengenezo na kuirudia ile njia ya kweli na ya haki.

Niwaombeni tujaribu kuwa watulivu hakuna haja ya kujibu kwa jazba kwa ababu kuna mwingine ambaye anaweza kuja na hoja zake kwa ajili tu ya kukupandisha hasira ili utoke katika kumuelimisha,elimu ambayo wengine wanaweza kunufaika nayo humu ndani na hivyi kujikita kwenye malumbano ya ajabu.
 
umejaribu kufuatilia headlines za leo? Hata Tanzania Daima inaisifia CCM

Eh! Leo Tanzania Daima limekuwa reference ya mwana CCM??!!

Ebu nipatie kwanza hizo headlines chifu.
 
Eh! Leo Tanzania Daima limekuwa reference ya mwana CCM??!!

Ebu nipatie kwanza hizo headlines chifu.

Linatoa sifa kwa Kinana na CCM kwa kuisimamia serikali, hadi inasababisha baadhi ya mawaziri kumuogopa
 
huwezi kuwa na imani na chadema kwa sababu haujawahi kuwa na imani na chadema.
ukiwa na imani na chama cha mashoga siku zote utakuwa mwaminifu kwa mashoga
 
Naona mawazo yako ni finyu kama ya wanachadema wenzako, ndo wamekutuma uje utukane na kuonyesha umahiri wako wa kutusika? Kwa taarifa yako mimi ni muumini mtiifu wa Mfalme wa Wafalme yaani YESU KRISTO MWENYE HAKI.

so what!
 
Kwa kila kijana wa ki tanzania nazani ni wakati mzuri wa kujifunza siasa na vita ili vizazi vijavo vije kua huru kujifunza hesabu na sanaa. Kuiondoa ccm ni jukumu la kila kijana sawa na kutetea maisha yetu dhidi ya adui, nazani kwa staili yoyote 2015 ccm itoke....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…