Sina hela nifanyaje??

Sina hela nifanyaje??

Jitie tu kitanzi mkuu ili ukampumzike kwa Mungu Baba Mwenyezi maana huko hakuna kabisa matumizi ya hela. Kama huwezi, basi hakikisha unaongeza bidii ya kupambana kuzitafuta hizo hela ikiwemo kupiga mizinga.

Jiepushe na uvivu na aina yoyote ile ya uzembe. Hakuna nama.
Mizinga ndio uwe na watu sasa maana kiukwel inachosha sana.Kwkifupi mpaka sasa nimesha poteza 80% of my company baada ya kuingia kwenye mtikisiko kiuchumi.Mungu mwema jogoo wa alfajir namskia kwa mbaaaaaali akitaka kuwika asubuh ifike
 
Mkuu...hata Mimi Sina hela yaani.hapa.nipo.nasuka nywele za Buku
 
Usikate tamaa mkuu endelea kupambana Kuna siku michongo itatiki tu utatoboa
 
Jitie tu kitanzi mkuu ili ukampumzike kwa Mungu Baba Mwenyezi maana huko hakuna kabisa matumizi ya hela. Kama huwezi, basi hakikisha unaongeza bidii ya kupambana kuzitafuta hizo hela ikiwemo kupiga mizinga.

Jiepushe na uvivu na aina yoyote ile ya uzembe. Hakuna nama.
Unafika huko unashangaa kila kitu hela halafu bei balaa. Hadi pumzi unalipia. Na ukikosa pumzi siyo kwamba unakufa, unapata tu yale mateso ya kukosa pumzi.
Mi naona akomae hapa hapa.
 
Uchumi unao Ila umeukalia.....jiongeze Mombasa,lamu,zanzibar
 
Jitie tu kitanzi mkuu ili ukampumzike kwa Mungu Baba Mwenyezi maana huko hakuna kabisa matumizi ya hela. Kama huwezi, basi hakikisha unaongeza bidii ya kupambana kuzitafuta hizo hela ikiwemo kupiga mizinga.

Jiepushe na uvivu na aina yoyote ile ya uzembe. Hakuna nama.
Hahahaahhahahaahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom