Mkuu
mjali tumbo, hakika hauwezi kuwa na hamu na mke wako kwani unapoingia nyumbani tayari unakuwa umeshapiga mabao nje, na pia akili umeshaiaminisha kutokuwa na hamu na mkeo. Hili ni lazima litatokea.
Nini cha kufanya.
Achana na hao malaya na mahawara wa nje, ukishashikwa na minyege elekea kwa mkeo uone kama hamu bado haitakuwepo.
Pia kumbuka ni kitu gani kilikuvutia awali kwake mpaka hamu ya ku-do ikawepo na kuamua kumfanya kuwa permanent wako? Basi mwambie aendelee kumaintain hicho kitu.
Kuweni wawazi kwenye mambo yenu ya mapenzi, pata muda wa kutoka naye out, mnunulie nguo zinazompendeza na zinazoamsha mzuka wako.
Ngoja nikwambie kitu kimoja. kuna siku nilienda na mke wangu Arusha, basi kufika dukani nikaona sketi moja, nikaipenda, nikamnunulia, kufika ndani Hotelini tulipofikia akaivaa, Ooooh!!! Kwa jinsi alivyopendezea, nilimrukia nikamvua hiyo sketi tukawa katika ulimwengu tofauti. Kwa ujumla mimi ndo huwa namnunulia nguo nyingi kama makufuli ya ndani, sketi, suruali nk. kwani nataka aonekane jinsi mimi ninavyopenda.