Sina hamu ya kusex na mke wangu

Sina hamu ya kusex na mke wangu

Mzoea vya kunyonga wewe vya kuchinja huviwezi,hata ukimuacha huyo atakayefata naye utamchukia baada ya muda mfupi!!!
Kwako hamu inaletwa na kutongoza,kununua na kuzengea,vya halali havikuvutii
 
mkeo pia amekuchoka ndio mana hata hakwambii chochote... mlioana kutaka sifa mbele ya jamii!! mmekutana wote mna michepuko cha msingi mueleze mkeo kama unataka aweje au akufanyie vitu gani ambavyo unafanyiwa na vibinti mpaka unapata mzuka!!! miezi sita ushamchoka utakaa hata miaka miwili wewe... mhhh
 
Unatamaa wewe gonga mke achana na vimichepuko utakuja uwa mke wako au apate magonjwa ya zinaa
 
Kazi kujali tumbo tu mjali mkeo acha u fff la wewe
 
Nmejkuta natumia pesa nyingi kuhonga wanawake mtaani ili kufanya nao mapenzi lakini mke wangu sina hamu nae kabisa, na hujikuta nikifika nyumbani ni kula na kulala, yaani hanivutii tu. sasa kinachonitesa hujikuta nahonga karibu kila baada ya siku mbili ili kupewa penzi nje angali tena mke naye ana matumizi ya ndani kitu kinachoelekea uchumi wangu kuwa wa mashaka. Ndoa niliyofunga hairuhusu talaka. Najiuliza nifanyeje?

sijawahi mfumania, ana kipato ingawa sio kikubwa tatizo imetokea tu sina hamu naye miezi kama sita baada ya kumuowa hamu ikawa haipo ikanibidi nianze kuwa na mahawara ambao nao ni garama sana hata vibinti navyo ni garama , sasa nikipata hawara naenda nae gemu fresh na nina kuwa na mzuka nashangaa .

Jamani nifanyeje naishi na mtu ambaye sina hamu ya kusex naye?

wakati mwingine haya maneno mnayoambiana baada ya "shughuli" yanaweza sababisha hali iliyokupata.

je kuna siku baada ya shughuli wife alikueleza hajaridhika? kama ndio, inawezekana hiyo kauli ndiyo ilikuzima stimu mkuu.

bibie hakuwa na nia mbaya bali alikuwa anadai haki yake tu.
 
Tupia picha ya mke wako ili tuweze kujadili vizuri..
 
yaani huyu mtu ni kama simtaki kabisa

Kikubwa unatakiwa ujue michepuko yako iko upande gani..

Kama ni wanafunzi basi huenda unapenda kuona msichana akiwa kavaa sare hivyo mshonee mkeo nae ili afanane nao.

Kama wana inye na mkeo hana basi mtafutie mkeo bu.ttock boost kutoka China.

Kama wanavaa chachandu mtafutie mkeo pia awe nayo.

Kama ni wembamba na mkeo ni tukunyema mpeleke Gym.

Kama wanavaa mitumba na mkeo nguo za dukani anza kumpeleka mkeo Karume nae akasagule.

Ukizingatia haya utadumisha ndoa yako.
 
Pole! Inaonekana spiritual wife anataka akuvunjie ndoa. Unahitaji kutoka kwenye hicho kifungo.
 
Nmejkuta natumia pesa nyingi kuhonga wanawake mtaani ili kufanya nao mapenzi lakini mke wangu sina hamu nae kabisa, na hujikuta nikifika nyumbani ni kula na kulala, yaani hanivutii tu. sasa kinachonitesa hujikuta nahonga karibu kila baada ya siku mbili ili kupewa penzi nje angali tena mke naye ana matumizi ya ndani kitu kinachoelekea uchumi wangu kuwa wa mashaka. Ndoa niliyofunga hairuhusu talaka. Najiuliza nifanyeje?

sijawahi mfumania, ana kipato ingawa sio kikubwa tatizo imetokea tu sina hamu naye miezi kama sita baada ya kumuowa hamu ikawa haipo ikanibidi nianze kuwa na mahawara ambao nao ni garama sana hata vibinti navyo ni garama , sasa nikipata hawara naenda nae gemu fresh na nina kuwa na mzuka nashangaa .

Jamani nifanyeje naishi na mtu ambaye sina hamu ya kusex naye?

Kuna Mkuu fulani alisema... UKILA VYA WATU NA VYAKO LAZIMA VILIWE.. kazi ni kwako..
 
Ushapata mchepuko kaka usitudanganye
 
sex inakuwa control na mind yako mkuu... wewe umendekeza uhuni alafu unategemea nini? muhimu anza kumwona mkeo mpya kila akipita jaribu kuvuta hisia cheza nae jokes as much as u can... ukipita shika kalio loh mahaba rudisha ndani mkiss mkiwa pamoja .... mlishe akulishe loh mbona mapenzi yanrudi tu mkuu... sema pia mkeo hajajua kama hisia hauna angejifunza namna ya kukuteka mbona utadata .. nisiseme mengi..... ukilala usiku wekamkono kwenye papuchi yake utpata hamu tu

Ungeendelea kidogo nimepandisha mzuka flani hvi amazing!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom