SWEEPER
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 269
- 87
Nmejkuta natumia pesa nyingi kuhonga wanawake mtaani ili kufanya nao mapenzi lakini mke wangu sina hamu nae kabisa, na hujikuta nikifika nyumbani ni kula na kulala, yaani hanivutii tu. sasa kinachonitesa hujikuta nahonga karibu kila baada ya siku mbili ili kupewa penzi nje angali tena mke naye ana matumizi ya ndani kitu kinachoelekea uchumi wangu kuwa wa mashaka. Ndoa niliyofunga hairuhusu talaka. Najiuliza nifanyeje?
sijawahi mfumania, ana kipato ingawa sio kikubwa tatizo imetokea tu sina hamu naye miezi kama sita baada ya kumuowa hamu ikawa haipo ikanibidi nianze kuwa na mahawara ambao nao ni garama sana hata vibinti navyo ni garama , sasa nikipata hawara naenda nae gemu fresh na nina kuwa na mzuka nashangaa .
Jamani nifanyeje naishi na mtu ambaye sina hamu ya kusex naye?
Nenda kamhonge mkeo kama hao vicheche utaona mzuka unavyopanda kwa mkeo!