Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Embu tutumie picha yake..
Duuuu kweli Ndoa ndoano miezi Sita tu ya Ndoa umeshamkinai mke wako, ulilazimishwa kumuoa? jitafakari mkuu.
Ata mimi nina tatizo kama hili..sipati hamu nae kabisa