Anasema mchumba ane ila ndio hivyo vimbwanga vya ndoa ndio anaogop
Nitaufikisha ujumbe kama ulivyo utoahuu ndo upuuzi tusioutaka..... ana mchumba then anasema hataki ndoa, kesho akiporwa mchumba atamlaumu nani?hao anaowaambia anawaamini?......ok kama hataki ya nini kumzibia mwenzie...huyo mchumbake? asimpotezee mwenzie muda.....pumbafu keza.....
Huu ushauri nafikiri utamfaa sana,acha nimfikishieSasa mbona yeye anaangalia failures za wengine? Kwa nini asi create institutional yake?
Penzi ni la ajabu sana na pia hushangaza...wakati mwingine penzi hutufanya tuyajutie maisha na kutaka kujitoa uhai....wakati mwingine penzi hutufanya tuyafurahie maisha na kuona dunia kama paradise kwa raha tuzipatazo penzini...wakati mwingine penzi hutuacha tumebaki na mshangao huku tusiamini kile tunachokishuhudia machoni mwetu....lakini hayo yote hayatuzuii wala haya kutuogopesha kuzifungua tena nyoyo zetu ili tusipende tena kwani tunaamini kuwa safari ya mapenzi ni ndefu sana...kwa kadri tunavyoumizwa penzini ndivyo tunavyopata sugu na kupata fulsa mpya ya kuonja utamu wa penzi jipya.....na hatimaye tunafika mwisho wa safari yetu ya kimapenzi kwa kuwapata wale walioumbwa kwa ajili yetu...wale wanaojua thamani ya mioyo yetu..wale wanaojua thamani ya machozi yetu...na hapo ndipo tunapo ibwaga mioyo yetu na kujihisi kama tumeitua mizigo mizito kwa kuondokana uchovu wa penzi lililopita na kuandika historia mpya kwenye maisha yetu ya kimapenzi kwa kutimiza ule msemo unaosema MAPENZI RAHA, UKIPATA AKUPENDAE.....
Ndoa nyingi sana hazina raha, we waone wanandoa wanavyocheka nje, ila ndani kunawaka.
Mimi siungi mkono kwamba usiolewe hapana, utampata wa kukuoa tena mtu mzuri na utafurahia ndoa yako. Pia usiseme ni dada mmoja wa saloon, sema ni mawazo yako hayo ila achana na huyo shetani. Kwa mwanamke au mwanaume kuwa na ndoa na familia na mkaendana vema inaleta heshima sana katika jamii, ila hata Uwe mwanamke tajiri kiasi gani au hata umiliki hii dunia yote bila kuwa na mume au ndoa bado unaonekana kama ma.la.ya fulani hivi au kahaba....hata jamii haikuelewi....mfano mzuri ni mbunge wa viti maalumu Vicky kamata...nadhani uliona alivyotaka kumuoa Yule kijana mume wa mwanamke mwenzake...ndoa tamu..asikuambie mtu!
Hivi jamani tuambiane ukweli UZURI WOTE ULE WA BAHATI BUKUKU na zile nyimbo zake za kumsifu Mungu na kuzungumzia mambo ya ndoa na jinsi anavyoigizaga ktk nyimbo zake hadi kutoa machozi.....yeye kwanini ndoa ilimshinda? achene ujeuri waimbaji wa injili na achene dhihaka kwa Mungu.....yaani nyie watu sio kioo cha jamii kabisa! There is no correlation between your actions and what your singing to your fans....ndio maana siku hizi nasema miziki ya injili ni biashara tu! You cant imagine Rose Mahenge leo kurudi ktk u bachelor...ni sheeedah
Nimekuwa nikisikia na kushuhudia wanandoa wengi wanavyo ishi majirani,ndugu na marafiki huku kukiwa na mikiki mikiki kati yao,ila kilicho nivunja moyo zaidi ni ndoa ya Mbasha sikutegemea wala kudhani kuwa wangefikia hatua hii ya sasa na pale walipokuwa wakihubiri heshima ya ndoa kupitia nyimbo zao.
Ndoa ya Gadna na Jaydee pia ilikuwa kivutio kwangu lakini kumbe sivyo nilivyokuwa nikifikiri,kutokana na yale ninayoyasoma kwenye mitandao na magazeti.
Ama kwa hakika maisha ya ndoa kumbe ni magumu,sina hamu ya kuolewa na wala sihitaji kuolewa,nitatafuta bwana wa kunipa ujauzito tu basi.Dada mmoja aliongea maneno haya akiwa saluni na mashost wake.
Wewe unamtazamo gani aendelee na msimamo wake au abadili msimamo wake.