Hili hataki kuliongelea, nikiliongelea anakuja juu anadai ata ajui kukojoa ndo habari gani. Wakati hii ni relation yake ya tatu kwa mujibu wake binafsi.
Kaka naamini anajua sema hatak kukuambia,kuna madada nlikua nao kwenye uhusiano yan wakikojoa wasipokojoa hujui yan wanafcha ila walikua na mech zao za nje na naamn huko ndo walikua wanasema ukwel ila msichana kama kafall kwako for real,lazima awe free kwako na atakuambia kila jambo lyk amepiz mara ngap na mwngne anaweza kukuonesha maji maji yake au labda kweli umfikishi,jarb siku kuplay ur best of the best thn muangalie.Unampga thn unatoa yan hvo hvo kwa hyo hamu znamjaa na ukiweka tu mashabki haoooooooo
54% of women have never had orgasm. Sasa kwa nini uumize akili yako, wakati wapo wasiokojoa!!! Kama unafanya homework yako, usiumize kichwa, wapo wanaoenjoy tu ila hawafiki....
Wengine wana stress zao, maradhi, na mambo mengine mengi.
Poa mkuu, vipi lakin wewe ushawahi kukutana na asiefika?
Nimewahi, kipindi hicho nipo na mawazo kama yako...nikaona upuuzi, kwanini nisugur akili jinsi ya kukojozana wakati yeye ndo anatakiwa kutuliza akili..
Basi hapo komaa kiume,maana wakati mwingine siyo rahisi kupata mtu mwenye sifa zote,wife akiwa anapigana na maisha mme afanye jitihadi kumtosheleza,Yule tuliendana kitandani tu, tafauti na huyu tunaendana kimaisha mengine japo kitandani anajitahd sana kuniridhisha mimi
Sikuiona ila hapa nimeona ntakutafuta
Akifika najua vizuri kuwa nimemfikisha. Tatizo langu sio kujua kama nimemfikisha, ila nataka nijue kwanini hafiki na hataki kuwa wazi tuliongelee
na huyo anaemdhani ndio mwongo mkubwa??Unaeza kuta huyu ndo mkweli hafiki, ila huyo unaedhani ulikuwa unamfikisha ndo kibaka tu anakuibia....
Basi hapo komaa kiume,maana wakati mwingine siyo rahisi kupata mtu mwenye sifa zote,wife akiwa anapigana na maisha mme afanye jitihadi kumtosheleza,
mme kama anapigana na maisha mke afanye kazi kubwa kuhakikisha jogoo linawika atakavyo,karibu kwenye uwanja wa ndoa yote hayo yanapatikana humo.
nani alikwambia wanawake wote wanafanana sijui kukojoa unaita? Kama hamu inampata mpaka anakuvuta na umesema unaridhika we unataka nini kingine? Kama shida yako ni mikojo basi mrudie yule wa mwanzo. Si umeona kuendana kwenu kimaisha huyu si issue, issue ni mikojo? Wa mwanzo alikuwa anakojoa ila hamuendani kimaisha ukamuacha, huyu mnaendana kimaisha hakojoi unafikiria kumuacha. Mi nashauri umuache tu maana kwanza huko kumuuliza uliza kila siku utaanza kumjengea hofu hata hicho unachokipata sasa utakosa.
Kama walivyo wanaume wasio na nguvu za kiume au upungufu wa nguvu za kiume wapo pia wanawake wasio na nguvu za kike yaani hata ufanyeje yz hajisikii utamu na hafiki kileleni hawa nao wana upungufu wa nguvu za kike tatizo ni stress za kutendwa ktk mahsiano mf kubakwa na kujenga imani kwa wanaume
wewe si umemchokaKwanini jembe?