Sina hamu naye tena!

Sina hamu naye tena!

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Bila shaka weekend inaenda murua ndugu zangu.

Nimekuwa na demu wangu nimpendae kwa mwaka mmoja sasa. Tatizo linalonikumba ni kuwa sikuwahi kumpa dozi hadi akafika kunakostahili (kukojoa), licha ya kujituma kwa kadili ya uwezo wangu. Na nimewahi kuwa na girl friend mmoja kabla ya huyu na nlikuwa namfikisha vizuri tu.
Kinachoniumiza ni kuwa napotaka kuongea nae kuhusu tufanyeje ili nae aweze kuwa anafika kule ananikwepa na kudai anarizika ivo ivo.
Sasa wenzangu mnalionaje hili, anaweza akawa anarizika ivo ivo kweli au ni mwizi na muongo tu kuna sehemu nyingine anakopata vitu vya maana vya kumridhisha?
Na naamin raha ya kufanya hii kitu ni pale unapojiridhisha kuwa mwenzako anafrahia kama wewe.
Naombeni mawazo yenu ndugu zangu.
 
Aiseee fani yangu hii nina MASTER ya ubunifu na PHD ya kukojoza wadada kama hawa, mkuu unahitaji mafunzo kwa vitendo..

Huyo lazima atakuwa nakuzuga tu kuondoa aibu ila kunakitu anakosa.
 
mpake mafuta ya olive mwili mzima fanya masage alafu unaanza kidogo afu chochea sana afu,unamkatia stimu afu tena chochea kama mara 4 mfululiZO utaskia kama mashine inasukumwa itoke ukiitoa kwa haraka ni mvua waaaaa he he wanadatAga
 
Aiseee fani yangu hii nina MASTER ya ubunifu na PHD ya kukojoza wadada kama hawa, mkuu unahitaji mafunzo kwa vitendo..

Huyo lazima atakuwa nakuzuga tu kuondoa aibu ila kunakitu anakosa.

Sasa aibu ya nan mkuu, mimi au yeye?
 
Weka picha tumuone..tunaweza ku-detect tatzo..
 
mpake mafuta ya olive mwili mzima fanya masage alafu unaanza kidogo afu chochea sana afu,unamkatia stimu afu tena chochea kama mara 4 mfululiZO utaskia kama mashine inasukumwa itoke ukiitoa kwa haraka ni mvua waaaaa he he wanadatAga

Duh noma kweli!...
 
Lakin mbona hataki tuongee kuhsu hili

Sio wote wenye ujasiri wa kuongea hayo especially kwa situation kama hiyo
huko ni kutokujiamini baadhi ya watu wanadhani akisema mtu atamuona malaya
Anaweza kuwa ni kati ya hao watu.....
 
Kitendo cha kumuacha mliekuwa mnaendana ulikuwa unatafuta kitu tofauti
na ndo hapo umeishapata,tulia.
 
kama amesema anridhika hivyohivyo we fanya yako
lasivyo jiongeze na uzidi kumsoma maeneo yake nyeti yanayomsisimua!
 
huyo anawezekana kashawahi kuugua magonjwa ya zinaa,hakupata tiba sawa sawa au alichelewa,ivyo kapata hali ya kuskia maumivu kila wakati wa tendo kitu kinachomfanya asifike kileleni.
 
anasquirt , ana vibrate na machozi juu inaweza kuwa wizu kweli?

usimtishe sana kijana.
Hajasema hayo lakini, make kuna mtu alijisifia sana hapa kuwa demu wake ana makelele hadi mtaa wa pili
hivo anamfikisha vizuri, ye anajua makelele ndo katika kwenyewe...
 
Hamna sababu ya kulazimisha kuongea naye............

zidisha ujuzi kila siku , ipo siku atayarusha tu,,,,,,,,,,,,, amini nikuambiayo.

Nimekuwa nae mwaka mzima sasa, nshajaribu kila ujuzi. Nahisi ananiibia tu ndo maana hayoko tayari tuongee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom