medson medson
Member
- Feb 23, 2014
- 23
- 6
Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini.
Siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo keki ofisini kwake wakati wa lunch time, kufika ofisini kwake secretary wake sikumkuta ila nilihisi mume wangu yupo ofisini; me moja kwa moja kufungua mlango kwa shangwe zote nikichokikuta humo ndicho kinachoniumiza mpaka leo! Mume wangu amemuinamisha secretary wake waki-have sex, kesi ilikuwa kubwa but nikajitahidi kumsamehe ila tatizo sina hamu ya kufanya nae mapenzi tena sababu ile picha iko ndani ya ubongo wangu; yaani K yangu imekufa ganzi kabisaaa katika swala la sex.
Nifanyeje jamani?
Ngoja siku umfumanie mkeo na ss tukwambie uache wivu
Unajua kuachana ndio suluhu eee?? we nahisi ujaolewa wewe, maana ungeolewa ungejua kwenye ndoa kuna nn, mume/mke sio kama boyfnd/galfnd,ambaye muda wowote unaamuacha na kutafuta ki boyfrnd/galfnd kingine, eti ningemuacha weeee!!...wapo wanaopitia taratibu zote za kuachana akienda kwengine yale yale mwisho wa siku ajuta anaamua kua mama huruma au play boy
Kalagabaho
kaka mie niko kwenye ndoa usidhani najiropokea tu hapa i knw what am sayingThe Truth/Reality is the only thing to take u out of that mind captivity....ngoja Siku ukiingia mahali hapo u will be able to understand my points.
Anyway endelea kushikilia unachokiamini. :A S 103:
kaka mie niko kwenye ndoa usidhani najiropokea tu hapa i knw what am saying
You knw wat ur problem is? wanaume huwa mnafikiria kwamba wanawake wote tuliumbwa wadhaifu na kwamba tunaweza kuchukuliana na mambo yenu ya ajabu ajabu mnayotufanyia, but i have got news for u budy not all of us are that weakNilikuelewa alafu wala mi sidhani kama unaropoka kwa mujibu ya madai yko hapo juu, may be wewe ndio ukunielea. I didn't mean uingie ndoani, ila nimemaanisha uingie kwenye eneo ilo ktk ndoa yako.
You knw wat ur problem is? wanaume huwa mnafikiria kwamba wanawake wote tuliumbwa wadhaifu na kwamba tunaweza kuchukuliana na mambo yenu ya ajabu ajabu mnayotufanyia, but i have got news for u budy not all of us are that weak
sijakuelewa?Je unapitia thread zote humu, hawa wote walioona kua si rahisi ni wanaume???
sijakuelewa?
Nimeuliza Je wewe unasoma mawazo ya wachangiaji wote humu??umedai kua sisi wanaume tunaona nyinyi ni weak, so nilitaka usome hizi thread ili uone kua wapo wanawake ambao pia wana comment kua kuachana si swala rahisi,na si sisi wanaume tu. Just take your time to read the them utanielewa, mrsleo
wewe hujanielewa nimekwambia hivi nyinyi wanaume mnaona kwamba sisi wanawake tuko so weak lakini mkae mkijua si wote tuko dhaifu hivyo, kwahiyo hao waliosema kwamba solution sio kuachana sisemi kwamba wako weak hapana ila tunatofautiana mtazamo ila kuna wengine wameniunga mkono kwamba hakuna msamaha kwenye cheating hao ndo ninao share nao mtazamo mimi
hayo yote hayahusiani na misimamo yangu ya kutotaka kuwa mtumwa kwa mwanaume, ila kwa taarifa tu ndoa yangu ni ya kanisaniOkay Twende taratibu, 1. Je una familia na uyo mumeo?? 2. Unaishi katika ndoa halali ama zile ndoa za kuchukuana na kuwataarifu wazi???hapa Namaanisha upo na cheti halali cha ndoa.