Sina hamu na mume wangu

Duh huo mtihani mzito sana alafu inaonekana huyo mmeo sio mara ya kwanza kufanya hivyo maana za mwizi 40.
Ila kwa upande wangu nisengemsamehe i dont believe in second chance hasa ukizingatia kwamba yaani umeona mpk tendo linavyofanywa.

huyo anaonekana mzoefuu wa siku nyingi.
 

pole sana , siyo kama nakushauri vibaya ila wanaume tuna matatizo sana hasa katika swala la uaminifu, njoo kigoma nikuoneshe wapi uende atakoma huyo
 
hadithi ya kutunga hii, hakuna mjinga anaweza kufanya hivyo kizembe namna hiyo, tena wakati wa chakula cha mchana na mlango wazi, ngumu kuamini au hiyo ofisi wanafanya kazi wawili tu, hata kama ni hivyo bado siamini.
 
pole sana , siyo kama nakushauri vibaya ila wanaume tuna matatizo sana hasa katika swala la uaminifu, njoo kigoma nikuoneshe wapi uende atakoma huyo

taratibu mkuu usije mmalizia mpaka panya wa nyumbani kwake.
 
Mambo ya kuiga yamekuponza..kwenye ndoa usithubutu kufanya hivyo! (me bado nipo nipo) any way..sioni kosa la mumeo kulingana na real life!! halafu eti unajipa moyo kwamba mumeo alisahau siku yake ya kuzaliwa!! thubutuuuu! alikuwa hataki tu usumbufu wako wakati akienjoy na chuma chake!! Tatizo mkiingia kwenye ndoa mnajiachia mno kizembe ndo maana mnachokwa!!

Jamaa kama binadamu naye ana haki ya kupata "kilicho bora zaidi" na haijalishi kinakujaje!!

Asilimia 95 ya wanaofanya suprize huishia kuumia
 
Una moyo mwenzangu,kwa upande wangu angechagua moja,kuishi na uyo secretary wake,na kumfilisi juu,kila mtu achukue zake hamsini,tena hana adabu ofisini? Ni kwamba zimempanda sana au gest zimeisha? Pole sana
 
Ha ha ha ha, kumbe ni ugonjwa?

Ila kama unataka magonjwa ya moyo msapraiz mwanamme, unajikuta umesapraiziwa mwenyewe.

 
Unaweza kuvuta hisia ya mtu wako wa zamani ukaiweka hapo wakati wa gem ukawa unamtumia na yeye vile vile mfyuuuu..! Siku moyo wako ukipoa utaanza kum feel yeye!
Angalizo: njia hii ni hatari sana kama sio mzoefu waweza muita jina la huyo x. Pendelea kumuita neutral names like babe, honey etc maana gem ikikolea unaweza kulupuka ukamuita john kumbe jamaa anitwa peter lol
 
Niliwahi kusikia kesi ya wanandoa msuluhishi wa kwanza ni mshenga kisha ikishindikana kwa wazazi halafu ikibidi kwa aliefungisha ndoa, wewe mpaka sasa umeanzia wapi na umemalizia wapi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hata biblia kwa sisi wakristo inakuruhu kuvunja ndoa endapo mwenzio atafanya uasherati nje ya ndoa

Utavunja ndoa ngapi wewe?
Mimi ni mwanaume,nishajicondition mambo flani flani na sitarajii kuumia hata nikimkuta wife anafumuliwa live!
Unajua mambo mengine huwa ni kujiendekeza tuu!
Bahati nzuri mungu huwa ana balance nature!Na bahati nzuri sisi wanaume tabia zetu zinafanana tu,asikudanganye mtu hapo,kinachotutofatisha ni ile intensity/Magnitude ya tabia.... wanawake wa dizaini yako ndo huwa wanachapiwa saaana!
Unlucky kwao hawapewaga akili ya kung'amua mambo wayafanyayo waume zao,kwavile bahati yao wanaolewaga na professional cheaters..!!
It's a matter of time,ipo siku utakuja ku realize kwamba haya mambo yanawezekana...!
"Ukimwona nyani mzee,Jua kakwepa mishale mingi sana...!"
Karibu..!
 
wakati mwingine unaweza KUMSHAURI mwenzako jambao ambalo wewe HUWEZI kulitekeleza
 

Nashangaa wengi wameniuliza swali hilo la eti utavunja ndoa ngapi sijui ntaacha wanaume wangapi, aliewambia kila anaetaka kuachika anataka mwanaume mwingine nani? kwani tuliumbwa kwa purpose hiyo tu hapa duniani ya kuolewa? plz na hicho ndicho kinachowafanya wanawake wengi wawe watumwa kwenye mahusiano au ndoa kwasababu wanaona maisha bila mwanaume hayawezekani, na umesema wanawake wa aina yangu ndo wanachapiwa sana tu lakini hawajui kwasababu hatukupewa akili ya kung'amua mambo wafanyayo wanaume zetu, sasa ndugu yangu usilolijua ni sawa na halipo kwahiyo as long as sijui i consider it doenst exist, lakini ikitokea nikajua NDOA BASIIIIIIIIIII
 
hadithi ya kutunga hii, hakuna mjinga anaweza kufanya hivyo kizembe namna hiyo, tena wakati wa chakula cha mchana na mlango wazi, ngumu kuamini au hiyo ofisi wanafanya kazi wawili tu, hata kama ni hivyo bado siamini.
Inaweza kweli kuwa stori ya kutunga, ila kuna jambo la kujifunza hapo maana hayo mambo yanatokea sana tu kwenye ndoa za sikuhizi
 

Good lucky!Please Soma Mithali 14:1

Karibu.
 
Kwani kuwa na mume lazima jaman? Yakikushinda siunatoka tu unakaa mwenywe, mm nimeolewa lakn cku yakinishinda ndo basi tena ntaishi mwenywe maisha yangu yaliyobak

Hapo nakuelewa...ila ujue dozi itakuwa ya kuvizia vizia...nayo ina karaha zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…