Maandiko yenyewe yanakataza,
Kwa dhambi ya usinzi nje ya ndoa,Hapo ndoa lazima ivunjike..Mimi Huo Moyo Wa kulea Msalilti Sina.
agriculture nini??
Usinzi ndo nini?
Laiti ungekuwa unajua unavyosalitiwa usingetoa hii hadithi yako hapa
Kwa avatar hiyo, sasa hivi utapata wa kukutia hamu ya 'ku-have sex:biggrin1:'
Ningekuwa na kampuni ningekuweka kitengo cha marketing, unaimudu sana hii kazi.
Hapa kuna some sort of 'strategic scenario with matangazo at work'. I too much read between the lines, hadi kuna saa najikuta na-read between the legs.
Usinzi ndo nini?
Laiti ungekuwa unajua unavyosalitiwa usingetoa hii hadithi yako hapa
wewe nae upo?nimekumiss dia mchumba wangu.
Dada una moyo...mm ningelipua hyo ofisi na petroli..loh!!😱:thumbdown:
sawa mama tembea tu unaweza okota hela si unajua mimi sina?nipo natembea tembea humu mkuu
Uzuri ni hafahamu! Usichokijua hakiwezi kukudhuru
Hiyo ni kosa la uandiashi mkuu,Nashukuru kwa kunirekebisha!
Umeshatumia "nge"...ila nikijua tu ndo mwisho wa ndoa
Kwani huyo mwanaume amejikomesha mwenyewe, si kamkomesha mkewe basi na yeye atamkomesha mmewehapo utakuwa unamkomesha nani...?? Na hili ndo kosa wanalofanyaga wanawake wengi sana.
Ndo ujue sasa, wanaume wote tuna vimeo vya nje. Ukijifanya unaleta visapraiz vyako, upitie kwa daktari kabisa akucheki presha yako.
Sasa Sababu ya Kuoa iko wapi kama unaendeleza uasherati?
Wanaume mnahitaji kubadilika sana manake wake zenu wanawabeba na hambebeki,
Hivi ukimfumania mkeo utamsamehe kweli?
loh ubarikiwe kwa kuweza kusamehe kwa sababu mimi nisingeweza zaidi ningemfilisi tu...... sasa kam umeweza kusamehe omba Mungu akupe uwezo wa kusahahu ile picha....
Mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja.
Nikimfumania mke wangu namtimua, akinifumania, uamuzi ni wake. Asuke au anyoe.