Rapunzel
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,079
- 601
Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini.
Siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo keki ofisini kwake wakati wa lunch time, kufika ofisini kwake secretary wake sikumkuta ila nilihisi mume wangu yupo ofisini; me moja kwa moja kufungua mlango kwa shangwe zote nikichokikuta humo ndicho kinachoniumiza mpaka leo! Mume wangu amemuinamisha secretary wake waki-have sex, kesi ilikuwa kubwa but nikajitahidi kumsamehe ila tatizo sina hamu ya kufanya nae mapenzi tena sababu ile picha iko ndani ya ubongo wangu; yaani K yangu imekufa ganzi kabisaaa katika swala la sex.
Nifanyeje jamani?