Sina Habari Nawe....... Byeeee!!

Sina Habari Nawe....... Byeeee!!

Ewaaaa...

Hebu kwanza huu ni mtego? Uko na return ticket? Ishatumika root ya kuja? Mambo ya masihara kwenye mambo ya msingi sipendagi ujue...

Ikiwa hayo ndio hivyo unitakege radhi...tangu lini babu ODM mimi mwenyewe orijinale nikakaa sehemu isiyokuwepo na sakramenti ya mbuzi katoliki?? Mimi huyuhuyu??

Tena hapa naona kuna kabendi kanatwanga vinyimbo pendwa... hapa nasikiliza "kumbikumbi oooh wanapendana sana, hata wakati wa kutembea unawaona bibi mbeleee bwana nyumaaa"

Hebu wahisha hicho kiuno hapa tuchangamshe nyonga kabla Grants haijabadilisha ratiba....

Lokeshen.... nikuwozap au nikuPM? Chaguo ni la Kasie...

Mahaba mahabani...

Niko hadi jumatano ndo narejea kibaruani.....

Tangu lini babu na Kasie wanategana.....

Nnavopenda mziki naanzaje kukutega sasa....

See you there, njia ya location utayoamua itumia Kasie ataifuata tuu, nna hamu ya kubingirika leo mpaka chini heheheehee

Biringe bayoyo biringe bayooyoo.....
Namuomba double R RRONDO aje hapa tumuone mambo zake bingiri bingiri mpaka chiniii 😅😅😅😅

Halafu kanywaji katamuuu 😋😋

Najiona nimekuwa mwepesiiii hehehehehee kumbe turbo 🤣🤣🤣🤣
 
Penzi mauaaaa...
Penzi upepooo...


Sina Nemo mimi, kwa kuwa najua
Yule ni mzazi mwenzio penzi Mahabaa..

Iko siikuuu .... na siku yenyewe ndo leo hivyoo.
 
Happy New Year to you too. I am still here enjoying good life to the maximum. GOD is ALWAYS GREAT. Enjoy the rest of your weekend.



Happy New Year 2019.... long time no see you neither your rhythm...

Ngoja nikalisikilize jiwimbo .......

K’ Matata.
 


Hahahahahaa nakumbuka zamaniii ulinitumia link ya Bubu Ataka Kusema.....


Kikaishia hapohapo, thanks for the song it's so so...... Makes me think and rethink and get the memory way back......

I can't lose you babe.....(that's the theme ryt..!!)



Kasinde.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Happy New Year to you too. I am still here enjoying good life to the maximum. GOD is ALWAYS GREAT. Enjoy the rest of your weekend.




Looh leo......, I've always been there....

Where are you by the way.....

Am just thinking and smiling at the same time.

Kasinde.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Keep on smiling K matata 😜, it is good for your health. 😎😎

Looh leo......, I've always been there....

Where are you by the way.....

Am just thinking and smiling at the same time.

Kasinde.
 
Matata sana weye! but it’s all good.

Hahahahahaa nakumbuka zamaniii ulinitumia link ya Bubu Ataka Kusema.....


Kikaishia hapohapo, thanks for the song it's so so...... Makes me think and rethink and get the memory way back......

I can't lose you babe.....(that's the theme ryt..!!)



Kasinde.
 
Niko hadi jumatano ndo narejea kibaruani.....

Tangu lini babu na Kasie wanategana.....

Nnavopenda mziki naanzaje kukutega sasa....

See you there, njia ya location utayoamua itumia Kasie ataifuata tuu, nna hamu ya kubingirika leo mpaka chini heheheehee

Biringe bayoyo biringe bayooyoo.....
Namuomba double R RRONDO aje hapa tumuone mambo zake bingiri bingiri mpaka chiniii 😅😅😅😅

Halafu kanywaji katamuuu 😋😋

Najiona nimekuwa mwepesiiii hehehehehee kumbe turbo 🤣🤣🤣🤣
Tumetoka kumzika Kibs....Nanayakala,Moyo,Batalingaya,Ndossi wote walikuwepo
 
Tumetoka kumzika Kibs....Nanayakala,Moyo,Batalingaya,Ndossi wote walikuwepo

Ooh naah, usinikumbushe machungu banaa.

May his soul rest in peace.

I hope muhi2 team wako vizuri though walimu huwa hawazeeki sijui kwa nini.

Pole kwa safari.
 
Hii habari mpya hii....kuna watu wana guts za kutumia ID za wengine kuzawadiwa mbunye!!!

Siku nyingi sana sijamwona...japo kuna wadau wamenufaika kwa mgongo wa watu8 wa jf Huku mtaani
 
Back
Top Bottom