Sina Habari Nawe....... Byeeee!!

Kuna mwenzio kaja na uzi wa kutapeliwa bila shaka nawe umetapeliwa ukaamua usepe


Wala sijatapeliwa

Ni kijaruba tuu....

Sina habari nae.... Sina deni nae... Sina upepo nae.
 
Kuwa mvumilivu ule mbivu

Nna shamba la ndizi za kila aina nahisi Ndo maana sinaga uvumilivu. Mwaka mzima napata ndizi mbivu hii ikikomaa nikimakiza kuila ingine inakuwa tayari.

Sina habari nae..... Sina mpango nae....
 
Back
Top Bottom