he he! Hakuna fumbo hapo wala shairi.. mtungi mtungi kweli..😆😆Hahahahaa Kenzy ushaanza na mashairi yako...
Mtungi upi sasa.... hehehehehe
msalimie babu mwambie nataka nimzulumu jiko lake! Kasie mahaba wa mahabuba..Dooh haya banaa umeniweza kweli kweli....
Enjoy your weekend.
he he! Ye jiko langu analitumbulia macho! Nami vivyohivyo nakutumbulia macho!!hiI ni ngoma droo😆😆Hahahahahhahaaa looh
Kwani jiko lako umelipeleka wapi hata utake kumdhulumu babuu?
We ndie upokeaye dua Au Mwenyezi Mungu Subhana Wataalah??Asante Kareem
Inshallah dua zako mimezipokea.
he he! Ye jiko langu analitumbulia macho! Nami vivyohivyo nakutumbulia macho!!hiI ni ngoma droo😆😆
We ndie upokeaye dua Au Mwenyezi Mungu Subhana Wataalah??
Hata kama huna habari nami, najua utarudi tu.Si unajua Mwenda tezi na omo marejeo ngamani.
Ngoja nikazimue kwanza hili bichwa naona halijakaa sawa.
Nakusalimia popote pale ulipo, hata kama huna habari nami lazima utakuwa na habari na mahaba yangu
toba... uzuri huyo wakwako dawa yake ni ugoro kisha nakuchukua!! U mtamu weye ndo maana kijeba mapengo kinakusumbua!😉Hahahahaha kumbe wewe na babu wote mnakokoana ila hamjali hisia za majiko ambayo yanawafanya mnapata mko wa kila siku tena ukiwa bado wa moto na mtamu....
Haya endeleeni kufanyiana ngoja droo mkichoka mtakuta sie tunapikia wengine.....
Kasie Matata.
Huyu Watu8 sitamsahau. Aliniibia mahaba ya kamchuchu kangu ka kwanza. Sikujua kumbe ni sukari ya wachuchu?
uliemfungulia uzi...Heeehh.... kijeba mapengo tena....!!
Ndo nani...!?
Ila amekukanyaga kanyaga sana mpaka pengine amekupindua pindua huku na kule halafu akakuchoka hivyo hata ukimpiga madongo haumii kabisa.!Mie ndo nimesepaa.....,
Ikichokonolewa wapiIkichokonolewa inaweza kuendelea.....
Vijana walikua wanajitambulisha huko mtaani kwa warembo kua mimi ndo watu8 wa jamii forum...wanapewa mzigo kama kawa..sasa na uzee wote huu inabidi Nitumie tu mbinu za kiengaOoh okay, na wewe umefaidika na watu8? Aka sukari ya warembo?