Sina Habari Nawe....... Byeeee!!

Aaahahahhahahaahaaa jamaniii hadi rahaa....

Haya banaa, acha bichwa kimzidie hadi ashindwe kunyanyuka Heheheheheheh.

Ila wako wengi, HILI lililopostiwa / lililoanzishiwa uzi ni LI nani???!!!

K Madata.

Hilo hilo mkuu
 
Watamwambiaje wenzake kama hujamtaja humu? Alafu tabia za kutongozwa alafu unaleta humu huo ni utoto mbona uliowakubalia huleti mrejesho.

Wadada wengine vimeo kweli hivi kweli mtu amekufuata inbox/pm kwa heshima kabisa kuna haja gani ulete humu huo upuuzi? Huoni huna busara? Mbona mwenzio hajakutongozea huku ulikoleta wewe?

Nina mashaka nawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sawa kabisa, wasiwasi ni mzuri sana, ukiona Kasie yuleeee kimbia mbiioooo asije kuanzishia uzi buree maana hizo za kitoto toto ndo zakee hehehehe.
 
Atajitapa zaidi,ngoja ibakie kuwa hivyo hivyo tu mkuu

Hahahahahhahahaaaa
Haya basi acha nimuongezee haya maneno.

Wee LImwanaume weeh, mbichwa wako na Huu uzi ni wako basi malabuku zako mara laki milioni bilioni.....

Kasie.
 
Niseme nini zaidi ya kukumiss, Nissan, Namanga, Msafiri....

K’ Matata.
Hahaha the thing is yo nowhere to be seen...no close to be reached...
yo always missed kasie matata...lots of kisses
 
Hahaha the thing is yo nowhere to be seen...no close to be reached...
yo always missed kasie matata...lots of kisses

Hapo kwenye makisses hapo.....

Asantiiii, nimedaka halafu nimemeza zotee hehehehe

Ila ngoja nikupe hii siri (usimwambie mtu) nakunong'oneza wewe tuu.
Ntakauka na kupotea koote ila JF sikosekani.

Kasinde.
 
Chepe chepe utaanza kuyeyuka kama ice cream 🤪

Aahaahahhahahahahaaa looh.....

Wenyewe wanasema ndembendembe... Yaani nyoronyoro....

Ila Dai amesema....

Moyo wangu....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom