Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Ila amekukanyaga kanyaga sana mpaka pengine amekupindua pindua huku na kule halafu akakuchoka hivyo hata ukimpiga madongo haumii kabisa.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana walikua wanajitambulisha huko mtaani kwa warembo kua mimi ndo watu8 wa jamii forum...wanapewa mzigo kama kawa..sasa na uzee wote huu inabidi Nitumie tu mbinu za kienga
Sina habari naye....Hahahaaaa watu atakuwa na kitambulisho kipya anasoma mashtaka yake leo, akizidiwa atakuja tuu.
Pole kwa kuibiwa mahaba yako ya kwanza, ila kwa kwa unayopata sasa natumai utasahau shida na taabu.
Kasie.
Am here...
Ngoja nikauchokonoeKwenye uzi.....
Post imeandikwa na nani?Kuna post naona hujaiona kabisaa na hujaifanyia kazi au unangoja jua lizame???!
Ewaaa... hapo sawa. Le big Sam orijinale amepata haki yake na bakshishi juu...Babu Le Big Sam....
Nakupendajeee, mmuah mmuah!!
Malabuku zangu kabla hujaniambia hehehehehe.
Ewaaa... hapo sawa. Le big Sam orijinale amepata haki yake na bakshishi juu...
Kamata kale kanywaji pendwa nitumie bill nifanye muamala kwa M Pesa.
Kama hapo hakapo mwambie Meneja Malabuku zake na robo tatu
Narejea kaunta pale kurekebisha koromeo...
Ngoja niifuate.... ole wako... nasema ole wako hiyo post isiwe post pendwa kwa Les Sam mwenyewe... Ntakuambikiza mimba wallahKasie....
Post #52.... hapahapa
Au wamekufutia wewe huuoni!!??
Ewaaaa...Hahahhahahhaaa Big Sam weeh, nani wa kukupiku...!!?
Fanya hivi babu....
Mambo yasiwe mengi na muda hautoshi...
Kabla jua halijazama leo.... nitupie location kuleee halafu utashangaa Kasie ameibuka eneo la tukio kama nyambizi.
Eneo husika likikosa kitimoto basi mee asikosekane.... nimepiga mswaki na msumeno leo tayari kusaga nyama na mifupa yake.
K’ Matata.
Penzi mauaaaa...Hahahahahhaaa aaaiiilaaabyuuuuu Le Big Sam.....
See you there.....