Sina Habari Nawe....... Byeeee!!

Sina Habari Nawe....... Byeeee!!

Ni wachache sana, tena sana wanaoweza kuulewa huu uzi.

Mimi ni mmoja wao wa walio uelewa.

Kasie, natumaini hujambo.

Cleroo mamboo,

Hahahahhahaaa natumaini kuna walioku PM kutaka kujua ulichoelewa au nilichomaanisha ......

Shauri yako ukiwaambia ukweli ......

Mie sijambo kabisa niko buheri wa afya.

Ila baada ya kuona avatar yako nimepata kiu ya msuba...

K’ Matata.
 
Hakuna aliyekuja aisee.

Kama umejua lengo langu vile!

Ilikuwa kutengeneza attraction, nashangaa mbinu imebuma.
 
Unaonekana una habari naye ndio maana umemuongelea,jamaa litakuwa na bichwa hiloooo,limeumiza mtu hadi limepostiwa humu
 
Curiosity killed the K, shauri yako 😜😜😜

Hahahahaaaaaaa looh.

Nimecheka cheko kubwa, but for Kasie, better die than stay with curiosity. Wink.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unaonekana una habari naye ndio maana umemuongelea,jamaa litakuwa na bichwa hiloooo,limeumiza mtu hadi limepostiwa humu

Aaahahahhahahaahaaa jamaniii hadi rahaa....

Haya banaa, acha bichwa kimzidie hadi ashindwe kunyanyuka Heheheheheheh.

Ila wako wengi, HILI lililopostiwa / lililoanzishiwa uzi ni LI nani???!!!

K Madata.
 
Back
Top Bottom