Sina Furaha Na Maisha Yangu

Sina Furaha Na Maisha Yangu

Siamini kuishia la darasa la nne ndio mwisho wa mafanikio naamini Mungu anatenda kwa watu wote haijalishi elimu umri waka rika
 
Mambo! hope you good

Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Kwamba sijui kuandika vizuri??? Hii stori ni chai kavu,kwahio umeandikiwa?
 
Pole relax na muombe Mungu
 
Expert wangu,mtu anakwambia kaishia darasa la nne,halafu unamwandikia kwa kizigua,je atakuelewa?

Ila hayo mambo mengine sikubaliani na wewe kwa asilimia kubwa

Atakuwa na kosa tu ikiwa ataendelea kulalamika kwa mambo ambayo yameshatokea na hana namna ya kuyarekebisha

Atakuwa na kosa ikiwa ataendelea kulalamika bila kuchukua hatua kubadilisha hayo maisha
I did my best.
Anyway mapenzi yafutwe
 
Mambo! hope you good

Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Sasa kama ulikuwa hutaki shule...Wazee wakaona wasiendelee kuchoma hela zao bure
 
Nani mwenye furaha mkuu!!?
Kwenye maisha haya nani mwenye uhakika na furaha!!?

Furahia chakula,mwanamke,mavazi,uzima yatosha mengine ni ya kupita!!
 
Binafsi sijasoma simlaum yeyeto nina watoto najionea ugumu wakulea watoto nawashukuru wazazi hata kwa kunipa elimu dunia
 
Mambo! hope you good

Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Yani hadi paragraph hapa JF unapanga unasema huna Elimu kuna watu wana PHD wanaandika kama wana UTI sugu ya mikono mshukuru Mungu, Au Mods wamekusaidia?
 
Njoo kwa Yesu, atakupa Roho wake mtakatifu na amani itakuwa nawe.

Hili. Imelithibitisha.

Ubarikiwe 🙏
 
Back
Top Bottom