Sina Furaha Na Maisha Yangu

Sina Furaha Na Maisha Yangu

Mambo! hope you good

Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Hivi kwani maisha kutoboa lazima kwenda shule, wewe hupo na roho mbaya, ndo maana mungu anakupa kiasi
 
Read carefully and think. Haimanishi ni kosa lako actually but you have to be responsible. Mtu ambae hakubali kwamba this is my fault he can't fix something akisubiri mtu mwenye kosa aje afix. Lakini whenever you feel anything related to you is wrong because of you will take responsibility. Uliteleza au Do We have to doubt about your IQ?
Kuna vitu inapaswa ujue kuwa huwezi kurekebisha kisichorekebishika, mengine yanakuzunguka na yapo nje ya uwezo wako! Huya jamaa Kinachomsumbua ni kukosa upendo tu
 
We jamaa!walikupeleka shule ya msingi Hadi la saba!!?

Hiyo ndio ilikua chance pekee kwako kuonyesha uwezo wako!!

Kama ulifeli la saba halafu ukategemea wakupeleke private,ujue uzembe ni wako na sio wao!!

Huwa nashangaa kijana anafeli la saba wakati analala na kula vizuri plus nguo ananunuliwa halafu anafeli!!

Kulelewa na wazazi wawili,ukawa unakula na kulala mahali pazuri ilitosha wewe kufaulu na kwenda sekondari Hadi chuo,hakuna mzazi atakae kataa kusomesha mtoto aliefaulu,ukifeli mzazi anapambania wengine au atahaakiikisha TU hufi njaa!!
 
Elimu ya Msingi ni bure.

Ilikuaje ukaishia darasa la saba mleta maada kabla hujaamza kulaumu wazazi ulitimiza wajibu wako vzuri?
Nimeishia darasa la nne mkuu,

nilikuwa nasoma bagamoyo
baada ya marehemu babu yangu mzaa baba yangu kufariki Ndipo tuliporudi dar es salam ikiwa nimeamishwa shule mwaka mmoja toka niamishwe shule dar es salam kwenda kusoma bagamoyo kwa bahati mbaya babu ndo akafariki

Hivyo ikatupaswa turudi sote dar es salam kwa ajili ya mazishi ndioo ndoto yangu ya kusoma ilipokomea hapo kwa sababu mzee hakutaka kufatilia maswala yangu ya uhamisho wa shule ili nije kusoma dar es salam tena ndio kiza cha elimu yangu kilipofika.
 
Kuna vitu inapaswa ujue kuwa huwezi kurekebisha kisichorekebishika, mengine yanakuzunguka na yapo nje ya uwezo wako! Huya jamaa Kinachomsumbua ni kukosa upendo tu
Sijajua ni upendo gani nilioukosa
 
Soma vizuri The
We jamaa!walikupeleka shule ya msingi Hadi la saba!!?

Hiyo ndio ilikua chance pekee kwako kuonyesha uwezo wako!!

Kama ulifeli la saba halafu ukategemea wakupeleke private,ujue uzembe ni wako na sio wao!!

Huwa nashangaa kijana anafeli la saba wakati analala na kula vizuri plus nguo ananunuliwa halafu anafeli!!

Kulelewa na wazazi wawili,ukawa unakula na kulala mahali pazuri ilitosha wewe kufaulu na kwenda sekondari Hadi chuo,hakuna mzazi atakae kataa kusomesha mtoto aliefaulu,ukifeli mzazi anapambania wengine au atahaakiikisha TU hufi njaa!!

We jamaa!walikupeleka shule ya msingi Hadi la saba!!?

Hiyo ndio ilikua chance pekee kwako kuonyesha uwezo wako!!

Kama ulifeli la saba halafu ukategemea wakupeleke private,ujue uzembe ni wako na sio wao!!

Huwa nashangaa kijana anafeli la saba wakati analala na kula vizuri plus nguo ananunuliwa halafu anafeli!!

Kulelewa na wazazi wawili,ukawa unakula na kulala mahali pazuri ilitosha wewe kufaulu na kwenda sekondari Hadi chuo,hakuna mzazi atakae kataa kusomesha mtoto aliefaulu,ukifeli mzazi anapambania wengine au atahaakiikisha TU hufi njaa!!
Soma vizuri thread mkubwa, tuliza akili na soma vizuri nilichokiandika
 
Mambo! hope you good

Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Mm nimepiga mpaka chuo hao unaowasema mm hawakunipigania kabisa nilipomaliza chuo. Nikasota sana kama jobless mpaka nikajiongez kutimkia unguja.. huku nafanya kazi sio za nguvu lakin nje ya kile kilichokula muda wangu mwingi sana huko shuleni
 
Mambo! hope you good

Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Wewe utoto unakusumbua...sisi pia tulikuwa ivyoivyo ...acha lawama kwa wazazi pambana na maisha yako...na kadri unavyowachukia ndio utapata shida sana duniani hadi utajiua
 
Pole sana kwa changamoto. Wazungu wanasema Whatever what never let ruin your life. Ngoja waje kukutafsiria
Mkuu sasa kama Mimi niliyesoma hadi masters nimeshindwa kuelewa hii sentenzi yenye rangi ya njano huyu mtoa mada aliyeishia Darasa la nne ataweza?

Kuwa na huruma basi 😐.
 
Sawa kutokupata elimu kunamfanya mtu kua mjinga hatujakaataa ila sio mwisho wako wa maisha shukuru mungu unawazaz umeelewa nao Kuna wale sio elimu tu hawana hata hao wazaz hawana na makazi ya kuishi Hana na hajui kesho yake ataamkaje wewe usilaan wazaz wako unachotakiwa ni wewe kupambana watoto wako wasije kosa unachokililia Sasa
Elimu haikufanyi kua mtu Bora au mwenye busara ama akili sana
 
Pole but sina uhakika Kama MTU aliyeishia darasa nne anaweza kuwa na Uandishi Kama huo wa kwako.
Either unapitia changamoto au changamoto zinapita na wewe

Be thankful niggaz
 
Back
Top Bottom