Sina Furaha Na Maisha Yangu

Sina Furaha Na Maisha Yangu

Mambo! hope you good

Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Huu mwandiko siyo wa mtu wa darasa la nne! Hii ni ☕ ya tangawizi.
 
Jisalimishe kwa Yesu Kristo hutojutia Kamwe.

Yesu Anakuja Rabbon
 
Sahau kabisa kuhusu hizo mambo familia imekufanyia
kubali changamoto na uanze kukabiliana nayo rasmi
Chance Yako ya kufanikiwa ni kubwa sana asee na inaonesha uwezo wako ni mkubwa kama umeishia la nne na unaijua JF na unaweza kuandika kama hivi
Jiamini mzee
Asante Kaka
 
Maisha mara nyingi matokeo hutofautiana pakubwa na matarajio, muhimu ni kuwa ba moyo wa shukrani tu, jana ilipita ikawa leo na leo nayo ita pita ita kuja kesho , kadhalika kesho nayo itapita
 
Sikia nikwambie kitu, stop complaining about others failed to help you. Once you are a man everything is your fault. Wazazi wako wameshindwa kukusonesha, it's your fault. You don't have money, it's your fault. Don't have a job, it's your fault. Your girlfriend is cheating, it's your fault. Even when it raining hard outside, it's your fault. Take responsibility, stop complaining. The universe didn't bring anyone to help you, neither your parents. Strike. Grind. Fight. Help yourself to survive alone! Naturally Kazi ya wazazi ni kukuzaa tu how you survive is none of their business huwa wanafanya tu kwa upendo. So I dare you to stop complaining and take responsibility/action. Take to think if parents weren't there what would you do? Do it now!
Mawazo ya hovyo sana haya
 
Mambo! hope you good

Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Wala huna haja ya kulalamika au kulaumu au kukosa raha, katika haya maisha kila mmoja ana jakajaka lake...hakuna alieachwa salama na mitihani ya dunia...hata kama ungesoma basi Mungu Angekupa mtihani mwengine...
Nafasi bado unayo as long as bado unaishi.....
Ukishakujua tatizo linalokusibu basi tayari ni nusu ya kutatua hilo tatizo. Unaweza kusoma at ur age ukawashinda hata waliokutangulia. Be positive
Tuna mifano mingi tu ya watu waliofeli then wakaja kunyanyuka just because walikuwa na utayari na walikuwa positive. KUWA NA ARI MKUU
 
Sikia nikwambie kitu, stop complaining about others failed to help you. Once you are a man everything is your fault. Wazazi wako wameshindwa kukusonesha, it's your fault. You don't have money, it's your fault. Don't have a job, it's your fault. Your girlfriend is cheating, it's your fault. Even when it raining hard outside, it's your fault. Take responsibility, stop complaining. The universe didn't bring anyone to help you, neither your parents. Strike. Grind. Fight. Help yourself to survive alone! Naturally Kazi ya wazazi ni kukuzaa tu how you survive is none of their business huwa wanafanya tu kwa upendo. So I dare you to stop complaining and take responsibility/action. Take to think if parents weren't there what would you do? Do it now!
Hivi vitabu mnavyosoma Sasa 😂 😂 😂 Sasa mvua kubwa inanyesha kosa langu tena? Kwanini mtu ndio ana control mvua 😂 😂 😂 huyu atasema kuumwa ni kosa lako, kufa ni kosa lako😂😂😂
 
Pole sana mkuu, usikate tamaa maisha lazima yaendelee focus na kesho yako, wasamehe wazazi wako ili uwe na furaha, huwezi kuwa na furaha maishani kama kuna watu na vitu umevibeba moyoni.

Kila mtu ana mapito yake katika maisha ni vile tu, huwezi kuona ya moyoni mwa mtu hivyo, uliyopitia wewe yanaweza yakawa hata ni mepesi kuna watu wamepitia magumu na bado wanapitia magumu.

Mshukuru Mungu uko hai unapumua, una kipato, cha muhimu wasamehe wazazi wako, kwani hata kama wana ubaya na makosa kiasi gani hawawezi kubadilika bado watabakia kuwa wazazi wako. Sali muombe Mungu akupe furaha.
 
Hivi vitabu mnavyosoma Sasa 😂 😂 😂 Sasa mvua kubwa inanyesha kosa langu tena? Kwanini mtu ndio ana control mvua 😂 😂 😂 huyu atasema kuumwa ni kosa lako, kufa ni kosa lako😂😂😂
Read carefully and think. Haimanishi ni kosa lako actually but you have to be responsible. Mtu ambae hakubali kwamba this is my fault he can't fix something akisubiri mtu mwenye kosa aje afix. Lakini whenever you feel anything related to you is wrong because of you will take responsibility. Uliteleza au Do We have to doubt about your IQ?
 
Acha kujitetea....!

Bilionea Lugumi kaishia Darasa la 7, basi wewe uliyeishia Darasa la 4 basi SI ungekua hata na 10% ya alichonacho...?

Kuna watu Wana Pesa na wameishia Darasa la 2 na wengine hawakusoma kabisa, Mtu kama Shigogo alianza kusoma Secondary nadhani QT kama sikosei baada ya kupata pesa.

Hizo sababu na kujitetea na kutafuta watu wa kuwatupia lawama zitakufanya utakufa Masikini kabisa.

Kuna Watu walipozaliwa tu Mama anafariki, Yani ilibidi Mama afe mtoto apone, Baba alifariki zamani, hawajui Ndugu na alisaidiwa kwenye Vituo vya Watoto wa mitaani, baadaye akaingia mtaani kutafuta maisha, na Sasa maisha sio kama zamani.

Ingia Mtaani pambana, kama unaona Shule ndiyo Kila kitu kwako unaweza kujisomesha hata Sasa, mbona wengi wamefanya hivyo.....! Huwezi kurudisha siku nyuma, ila yaliyotokea yakutie hasira kutafuta pesa.

Nauona Uvivu kwako, mtu usiye na Mawazo yoyote ya kesho, usiye na Ndoto zozote, usiye na Ubunifu wowote, watu wa Aina hii ni kama Maiti...! Amkaaaa Bado unapumua, waza nje ya Box, Maisha mazuri yapo....! Kila kinachokea hutokea Kwa sababu.

Nakukumbusha tu kama hufanyi chochote Kwa ajiri ya Mungu, na yeye hawezi kufanya chochote kwako......!
 
Mambo! hope you good

Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
ukisema wazazi hawakukupambania kabisa unakosea sana. wewe nawe pambania watoto wako basi kama unafikiri ni rahisi. wazazi wako wangekuwa na nia mbaya na wewe wangekutoa mimba, wangekuweka msukule watajirike au wangefanya chochote. acha ujinga, tafuta kazi yeyote fanya, mwombe Mungu akubariki kwenye kazi hiyo, kulialia hakutakusaidia kitu chochote. ati umeishia la nne na huwezi kuandika wakati umeandika bonge la essey kwenye jamiiforums, unamdanganya nani?
 
Mkuu acha masihara, hata mimi nimeshindwa kufikia malengo yangu katika maisha, inauma sana. nimepitia mengi sana, karibu ujana wangu wote nimeumaliza kwa stress. Ila fahamu kuwa kitu bora kabisa katika maisha ni maisha yeneywe. Jaribu kujenga furaha katika hayo mazingira ulionayo.
 
Sikia nikwambie kitu, stop complaining about others failed to help you. Once you are a man everything is your fault. Wazazi wako wameshindwa kukusonesha, it's your fault. You don't have money, it's your fault. Don't have a job, it's your fault. Your girlfriend is cheating, it's your fault. Even when it raining hard outside, it's your fault. Take responsibility, stop complaining. The universe didn't bring anyone to help you, neither your parents. Strike. Grind. Fight. Help yourself to survive alone! Naturally Kazi ya wazazi ni kukuzaa tu how you survive is none of their business huwa wanafanya tu kwa upendo. So I dare you to stop complaining and take responsibility/action. Take to think if parents weren't there what would you do? Do it now!
Expert wangu,mtu anakwambia kaishia darasa la nne,halafu unamwandikia kwa kizigua,je atakuelewa?

Ila hayo mambo mengine sikubaliani na wewe kwa asilimia kubwa

Atakuwa na kosa tu ikiwa ataendelea kulalamika kwa mambo ambayo yameshatokea na hana namna ya kuyarekebisha

Atakuwa na kosa ikiwa ataendelea kulalamika bila kuchukua hatua kubadilisha hayo maisha
 
Mkuu pole sana kwa changamoto unazopitia.
Hakika sisi wanadamu tumeumbiwa mitihani ya aina mbalimbali ili tuweze kupimwa kupitia mitihani hiyo.

Jambo la msingi zaidi ambalo naweza kukushauri ni usikate tamaa.
Lakini pia bado una nafasi ya kutimiza ndoto zako za kusoma maana elimu ni bahari na haina mwisho.

unaweza kuanza kwa kusoma kupitia taasisi ya serikali ya elimu ya watu wazima TEWW.

NAweka kiungo chake hapo chini ili uweze kupata mwanzo mzuri kuelekea kufufua ndoto zako tena.

Asante.
 
Back
Top Bottom