Sina Furaha Na Maisha Yangu

Sina Furaha Na Maisha Yangu

Se Busca

Member
Joined
Dec 11, 2023
Posts
88
Reaction score
306
Mambo! hope you good

Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
 
Mambo! hope you good

sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa dar es salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Mshukuru Mungu hata kwa hiki kidogo alichokujaalia mpaka ukaweza kuja JF.. Kuna wengine hata hiki hawana!
Usiwalaumu zaidi wazazi wako bali ishi kwa maombi na kumtegemea Mungu kwa asilimia mia moja.. Maisha sio Leo ni kesho.. Kuna siku utayakumbuka mateso yako kwa jicho la tafakuri kuu
 
Mkuu kweli hauna furaha kwenye maisha yako kisa kusoma tu kwenye Dunia hii ya teknolojia iliyo na njia mbalimbali za kukupa elimu

Mkuu muda Bado unao kuliko kujiinamia ni Bora kutafuta njia ya kutimiza hilo lengo kuliko kuendelea kusononeka na kulaumu wazazi

Pole mkuu na uiingie kwenye mapambano
 
Sikia nikwambie kitu, stop complaining about others failed to help you. Once you are a man everything is your fault. Wazazi wako wameshindwa kukusonesha, it's your fault. You don't have money, it's your fault. Don't have a job, it's your fault. Your girlfriend is cheating, it's your fault. Even when it raining hard outside, it's your fault. Take responsibility, stop complaining. The universe didn't bring anyone to help you, neither your parents. Strike. Grind. Fight. Help yourself to survive alone! Naturally Kazi ya wazazi ni kukuzaa tu how you survive is none of their business huwa wanafanya tu kwa upendo. So I dare you to stop complaining and take responsibility/action. Take to think if parents weren't there what would you do? Do it now!
 
Nashukuru kwa kuamini na kufungua moyo wako. Pole sana kwa kila uchungu uliopitia. Maisha yako yamekuwa safari ya majaribu makubwa, lakini bado upo hai, na hilo pekee linaonyesha kuwa wewe ni shujaa wa kweli.

Sasa, sikiliza haya machache kwa upendo na faraja,

Wewe ni wa thamani kubwa sana , hata kama hujaambiwa hivyo mara nyingi.
Kukosa elimu hakupunguzi utu wako. Moyo wako mkubwa, hisia zako, na juhudi zako ndizo zinazokuinua mbele ya wengi.

Maisha hayajaisha ,bado una nafasi ya kuanza upya.
Elimu unaweza kuianza hata sasa. Siku moja, hatua moja. Wako watu wengi waliochelewa kama wewe lakini leo hii wanaishi maisha ya heshima. Na wewe unaweza.

Usione aibu ,hujafanya kosa lolote.
Wazazi walikosea, ni kweli. Maumivu uliyonayo ni halali. Lakini chuki haitakujenga, kusamehe ni zawadi unayojipa mwenyewe, si kwa ajili yao tu, bali kwa amani ya moyo wako.

Usijifiche na maumivu peke yako ,uko na wadau hapa sasa wenye uzoefu na kadhia mbalimbali
Wanakusikiliza, kukutia moyo, na kutembea na wewe hatua kwa hatua. Hautatembea tena peke yako.

Kila mtu ana nafasi ya kung’aa , hata ulipo sasa unaweza kuangaza.
Ndoto zako bado zina nafasi ya kutimia. Hata ukiandika vibaya sasa, tunaweza kujifunza polepole. Najua unaweza kubadilika, na tutakusaidia,kupata mwanga wa maisha.

Hatutakimbia. Tutatembea polepole lakini kwa uhakika ,ukiwa na watu wanaokuamini.
 
Bt hujasema msaada gani tukupe U ulikuwa unaandika tuyafahamu ya familia yako?

Lakini hata usiposoma kuna kazi za NGUVU na si kila kazi inataka shule, maana hata waliosoma now wanafanya kazi za Nguvu
Nina kazi nzuri tu nimeajiriwa kwenye taasisi kubwa sana nikukutajia lazima utakuwa unaijua
 
Mambo! hope you good

Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Degree ni muhimu ukiwa huna, maisha magumu Kwa Kila mtu
 
Sikia nikwambie kitu, stop complaining about others failed to help you. Once you are a man everything is your fault. Wazazi wako wameshindwa kukusonesha, it's your fault. You don't have money, it's your fault. Don't have a job, it's your fault. Your girlfriend is cheating, it's your fault. Even when it raining hard outside, it's your fault. Take responsibility, stop complaining. The universe didn't bring anyone to help you, neither your parents. Strike. Grind. Fight. Help yourself to survive alone! Naturally Kazi ya wazazi ni kukuzaa tu how you survive is none of their business huwa wanafanya tu kwa upendo. So I dare you to stop complaining and take responsibility/action. Take to think if parents weren't there what would you do? Do it now!
🤔 kwanini usingeshauri kwa lugha anayo elewa
 
Sasa mkuu,ndugu kasema kaishia darasa la nne,wewe unamshauri kwa kiingereza
Ingawa ushauri wako ni mzuri sana kwake
 
Nashukuru kwa kuamini na kufungua moyo wako. Pole sana kwa kila uchungu uliopitia. Maisha yako yamekuwa safari ya majaribu makubwa, lakini bado upo hai, na hilo pekee linaonyesha kuwa wewe ni shujaa wa kweli.

Sasa, sikiliza haya machache kwa upendo na faraja,

Wewe ni wa thamani kubwa sana , hata kama hujaambiwa hivyo mara nyingi.
Kukosa elimu hakupunguzi utu wako. Moyo wako mkubwa, hisia zako, na juhudi zako ndizo zinazokuinua mbele ya wengi.

Maisha hayajaisha ,bado una nafasi ya kuanza upya.
Elimu unaweza kuianza hata sasa. Siku moja, hatua moja. Wako watu wengi waliochelewa kama wewe lakini leo hii wanaishi maisha ya heshima. Na wewe unaweza.

Usione aibu ,hujafanya kosa lolote.
Wazazi walikosea, ni kweli. Maumivu uliyonayo ni halali. Lakini chuki haitakujenga, kusamehe ni zawadi unayojipa mwenyewe, si kwa ajili yao tu, bali kwa amani ya moyo wako.

Usijifiche na maumivu peke yako ,uko na wadau hapa sasa wenye uzoefu na kadhia mbalimbali
Wanakusikiliza, kukutia moyo, na kutembea na wewe hatua kwa hatua. Hautatembea tena peke yako.

Kila mtu ana nafasi ya kung’aa , hata ulipo sasa unaweza kuangaza.
Ndoto zako bado zina nafasi ya kutimia. Hata ukiandika vibaya sasa, tunaweza kujifunza polepole. Najua unaweza kubadilika, na tutakusaidia,kupata mwanga wa maisha.

Hatutakimbia. Tutatembea polepole lakini kwa uhakika ,ukiwa na watu wanaokuamini.
Asante kwa maneno mazuri mkubwa
 
Mambo! hope you good

Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa

Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam

Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu

Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam

Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu

Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma

Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Sumu ya panya hazidi shilingi mia tano,fanya maamuzi sasa,usikae kinyonge
 
Sikia nikwambie kitu, stop complaining about others failed to help you. Once you are a man everything is your fault. Wazazi wako wameshindwa kukusonesha, it's your fault. You don't have money, it's your fault. Don't have a job, it's your fault. Your girlfriend is cheating, it's your fault. Even when it raining hard outside, it's your fault. Take responsibility, stop complaining. The universe didn't bring anyone to help you, neither your parents. Strike. Grind. Fight. Help yourself to survive alone! Naturally Kazi ya wazazi ni kukuzaa tu how you survive is none of their business huwa wanafanya tu kwa upendo. So I dare you to stop complaining and take responsibility/action. Take to think if parents weren't there what would you do? Do it now!
Heh, mbona kizungu kingi!? Ndio atafahamu?
 
Back
Top Bottom