Sina dalili ya upendo kabisa

Sijasema chenji, nimesema Hela.
Nweii una chenji kias gani?
Hizo hela za kuzitafuta kwa mateso na kuzifuga mwisho wa siku unakufa haujala hata robo mimi sizitaki ,mimi natafuta natumia, sina kiasi maalumu, naweza amka sina hata na Mia, nikitoka narudi na chochote ili mradi bima ya afya ninayo ya uhakika tu🀣🀣🀣🀣
 
MM huu ni uchoyo na ubinafsi, ko hata hutaki kutaja una chenji kias gani? Bas sawa, vipi leo hapo sahivi una chenji kias gani?
 
Natamani ningejua kidogo kuhusu wewe, then ninge confirm kile ninachojua kuhusu Watu wa Aina Yako.

Kuna watu ambao Mungu amewaumba hivyo Kwa sababu Maalumu, those who are the chosen one, wako hivyo sababu Wana kazi kubwa ya kufanya..
Hongezea maelekezo kidogo mkuu
 
Mhm siwezi chukua maji na kikombe nimwage baharini😁😁😁
MM uchoyo wa ki mwendokasi huu. Nimecheka hadi bas.
Nigawie jero bhana, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MM uchoyo wa ki mwendokasi huu. Nimecheka hadi bas.
Nigawie jero bhana, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nafikiri mtoa mada alishanyetuka huwa mnyetukaji kupenda ni ngumu sana au wewe unaonanaje?
 
Inategemea! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii experience ninayo ndio maana nimefikiri hivyo🀣🀣 sasa mtu through osmosis umeshalala na kina Mia Khalifa, jade fire na kina skin diamond una fikiri kina , khajida na mwaju wa buza atawapendaje?
 
Hii experience ninayo ndio maana nimefikiri hivyo🀣🀣 sasa mtu through osmosis umeshalala na kina Mia Khalifa, jade fire na kina skin diamond una fikiri kina , khajida na mwaju wa buza atawapendaje?
MM leo umelanduka Co poa, Woiiiiiih
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Punguza kupiga punyeto, mwishowe kitabakia kama pirton shauri yako
 
Aina hii ya wanaume wanapendwa sana na wanawake
 
Dogo, hela unatoa lakini, sababu waschsna wa 2000 hawahitaji kupendwa, we ksma unamspoil mtoto wa watu, hahitaji kupendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…