Sina chuki na precission air, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sina chuki na precission air,

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Jan 21, 2011.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Yaliyonipata katika kiwanja cha ndege cha KIA sitasahau. Nimekata tikiti ya kutoka KIA kwenda DAR kwa precision. Ndege ilitakiwa kuondoa KIA saa 4:30 asubuhi, reporting time saa tatu asubuhi, nime report kwa mda muafaka(saa 3 asubuhi) lakini afisa wa precision ananiambia ndege imejaa, nisubiri ndege ya saa tisa ama saa mbili na nusu usiku. Nimesononeshwa na hali hii. Hii inaonesha kuwa hatuna serikali na hata wajasiriamali wetu wamelewa monopoly. Karibu EAC wakenya na wanyarwanda waje watupe huduma maana sisi ni helpless na nchi iko katika autopilot.
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,304
  Likes Received: 5,640
  Trophy Points: 280
  Ndugu kwanza pole sana hilo ni la kawaida ndio maana tunakimbiliaga dar ex press zenye ok..labda kabla ya kukujibu nikusaidie si kila tkt una uwezo wa kuondok a siku hiyo kuna aina nying,ok,sby,na wengine awapo hata kwenye list yaani hao wakusubiri kabisa we ulikuwa kundi gani na kama ukuwa na ok tkt jua wenzako wenye ok wamejaa,shida moja mkikata tkt mnaulizwa una uhakika unasafiri sikuhiyo mnadai mtajulisha airlinr na wao wanakujulisha siku ya kuondoka unapobaki,,kama ulikuwa na ok,nakupa msaada kuna njia nyingi za complains hii ni haki yako na pengine mtu akaondoka kazini..

  Shuka na tkt yako nenda pale quality plaza uliizia ppreciss office ulizia kioko md,mweleze si sheria kuuza tkt wakati ndege imejaa na hili ni kosa linalotokea ila kama si kustopisha na watu kuttiishwa adabu upuuzi autaisha kamwe

  polesana mkuu
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni kawaida yao Mambo ya ovyo: Monopoly mbaya!!
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  pdidy, leo saa mbili asubuhi nilikuwa kwenye ofisi ya precision ya moshi, niliulizwa kama ninauhakika wa kusafiri, nikamjulisha ofisa kuwa safari yangu ilikuwa ya lazima kwa hiyo lazima nisafiri. Baada ya hatua zote aliniambia nipande suttle ( ya precission air), nilimuambia kuwa nina enda kia kwa gari langu, nilikanyaga mafuta mpaka kia (saa3.05 asubuhu nilikuwa KIA). Ajabu kwenye check in desk la ndani ya uwanja nikaambiwa ndege imejaa. We have a long way to go.
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Du imagine ungekata tiketi ya basi linaloondoka arusha saa tatu asubuhi mpaka saa mbili na nusu usiku usingekuwa Dar? tia akili kichwani.
   
 6. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Sio mara ya kwanza ndio tabia yao hiyo. Dawa ni kuleta mashirika mengine. Naona wamelewa sifa!
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  pole sana...sikutegemea kwamba kuna kitu kama hii hapo unaona kabisa kuwa nafasi yako kauziwa mzungu au hawara wake .......:frusty:
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Hao waliojaza ndege wametoka wapi sasa? au kwa sababu hukupanda shato yao?
   
 9. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ....nafikiri tatizo lipo hapo kwenye kuconfirm safari yako! na kufuatana na post hii mwenye tatizo mwingine ni mfanyakazi wa Moshi hakuwa makini!

  Huwezi kunfirm safari ya saa 4. masaa mawili kabla, kwa kawaida ukiangalia ticket yako, huwa unaambiwa uconfirm uhakika wa safari yako at least masaa 48 kabla ya tarehe ya safari! Sasa wewe umeconfirm saa mbili, kuna wenzio wameconfirm kabla ya wewe....ofcourse hapo mfanyakazi wa Moshi ndio kakuangusha.....!

  Yes, kuna matukio mengi sana yakuahirisha safari kwa hawa jamaa, lakini kwa hili lako naona na wewe uliteleza kidogo! ila pole mkuu!
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni 48
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  mkuu Next level, wewe kwa akili yako anaye confirm masaa 72 na masaa 2 kabla ya safari ninani mwenye uhakika, hivi unajua kuwa niki-cinfirm nakuwa regustered kwenye mfumo wao mzima wa uratibu wa safari?, hivi kama hakuna nafasi mtu wa moshi angeniruhusu kupanda shuttle? Au wewe ni wakala wa PA?
   
 12. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ....yeap mkuu tuko pamoja hapo! ngoja niedit!
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Sawa kaka....tusiwalaumu sana kweli bila kukonfemu mapema ndege hujaa hasa weekends
   
 14. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ....awali ya yote usichukulie hii kitu hapa ni PERSONAL sawa? pili tunachangia post yake kwa mitazamo tofautitofauti.....! kwa nini wanasema uconfirm masaa 48 kabla ya safari? kama unajua masuala ya kihasibu kuna kanuni ya stock management inaitwa First In First Out (FIFO)! Sasa hii ukiileta kwenye masuala ya bookings ni kwamba anayekuwa wa kwanza kuconfirm ndiyo anapewa priority ya kwanza na kimsingi wanakuwa wanahesabu seat fulani imeshauzwa.....! sielewi kwa nini unashindwa kulitambua hilo!

  Pili, nimeshakwambia tatizo pia lipo kwa huyo mfanyakazi wa Moshi alikuruhusu kuondoka pale...huyu alitakiwa ajue kuwa ndege imejaaa kabla ya kukuconfirm...kutojua kuwa ndege imejaa na kukuruhusu uondoke kwenda KIA ni tatizo kwake....!

  Achana na hoja za uwakala hapa.... mkuu, jadili hoja yako ya msingi!
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Mkuu unatumia kinywaji ngani nikuagizie kwa maelezo mazuri?
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,304
  Likes Received: 5,640
  Trophy Points: 280
  GAMA
  Baada ya kujibu alikuwekea tkt yako kwenye ok list?maana kuna visichana vimeajiriwa kwa kutoa penzi navijua pale ofisin kwao na wao awangaalii kama imejaa ama lah,,ndio maana intern airline ukitokea upuuzi kama huu wanakupa doller300-500 na kukupa hotel ya kulala na kabinti juu..sasa sijui awa,ila kama ilikuwa na ok,mkuu kama uko dar wawashe pale kwa mzee wao quality plaza
   
 17. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ....C/lite mjomba! tunajaribu kuelimishana vizuri. mkuu!
   
 18. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  siichukulii personal hata kidogo, tazama ninapotofautiana na wewe ni hapa: kwamba kama niki- confirm mhusika huangalia kwenye system kama kweli kuna nafasi, na ndivyo alivyofanya, mpaka hapa kanuni ya FIFO iko sawa kwani anauhakika amenigawia kiti(saeat), kisha akashauri nipande shutle. One hr later naambiwa ndege imejaa. Hapa kunakosa gani kwa abiria?, kama abiria angekuwa alinunua tkt siku nyingi harafu akaenda kuomba kusafiri two hrs b4 harafu akaambiwa hakuna nafasi na akaja kualalamika hapa janvini ingekuwa sahihi kumueleza theories za FIFO-issue tunayozungumzia hapa ni kuwa abiria amehakikishiwa kusafiri na kampuni husika kisha anaambiwa ndege imejaa akiwa ndani ya uwanja.
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,304
  Likes Received: 5,640
  Trophy Points: 280
  Mkuu Nexty Level
  anao uwezo wa kuconfirm ndan ya masaa hayo ingawa atakuwa amechelewa,,mwenye kutoa go ahaead ni yule kwenye ofisi anaeangalia system abiria wangapi wapo na ok,,kuna k na sby,ndio maana nasema hizi biashara za kutoa penzi na kukapata kazi shida tupu..majuzi nilikuwa na shida na kadada kaoja pale ofisini mwao kalinijibu ovyo sana sana nikapata shida ya kumuona KIOKO..uwezi amini jumamosi kama mmbili zilizopt nilikuwa waternworld nikamwona kioko ilipofika mida ya mchana kale kabinti kakaenda kumjoin meza yao kwa kweli niliishiwa na nguuvu nkasema ntaongea nini juu yake...so mahusiano na hawa wafanyakazi ni tatizo kubwa la kuajiri unproffession shda tupu..uwezi kumfirm mtu wakati system inasema ndege iko full,never,,Pili ukiona airline awakuelewi elekea TCAA kuna kitengo cha airline na shda zao waelekeze watamwita huyo mhusika
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,304
  Likes Received: 5,640
  Trophy Points: 280
  we unahisi nini vijukuu vya mtume always vinatumia

  Safari_ni_Safari
   
Loading...