siichukulii personal hata kidogo, tazama ninapotofautiana na wewe ni hapa: kwamba kama niki- confirm mhusika huangalia kwenye system kama kweli kuna nafasi, na ndivyo alivyofanya, mpaka hapa kanuni ya FIFO iko sawa kwani anauhakika amenigawia kiti(saeat), kisha akashauri nipande shutle. One hr later naambiwa ndege imejaa. Hapa kunakosa gani kwa abiria?, kama abiria angekuwa alinunua tkt siku nyingi harafu akaenda kuomba kusafiri two hrs b4 harafu akaambiwa hakuna nafasi na akaja kualalamika hapa janvini ingekuwa sahihi kumueleza theories za FIFO-issue tunayozungumzia hapa ni kuwa abiria amehakikishiwa kusafiri na kampuni husika kisha anaambiwa ndege imejaa akiwa ndani ya uwanja.