Sina bahati

Sina bahati

Tunguja

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2018
Posts
501
Reaction score
406
Nawapenda sana ndugu zangu lakini wao hawanipendi.
Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo mtaji wangu hauzidi 5,000,000,kutokana umasikini uliokithiri katika familia yetu mara nyingi nimekuwa nikifanya shughuli zangu na ndugu zangu,lengo nikutaka angalau tujitoe katika lindi la umasikini uliokithiri,daa ndugu zangu hanielewi kabisa,kila nitakayefanya naye kazi ananigeuza fursa ananigeuza mradi,badala ya kwenda mbele najikuta narudi nyuma.
Inauma sana pale unapogundua watu ambao una nia njema ya kuwasaidia halafu wao wanakupiga kimya kimya.
Nimejua kwanini watu wengi sana hawapendi kushirikiana na ndugu katika shughuli zao za kujitafutia riziki,mimi ni mmoja kati ya watu ambao nilikuwa nawaponda sana watu wa namna hiyo,nilikuwa na waita makatili roho mbaya,kumbe sikujua masikini wa Mungu,ndugu wabaya sana japokuwa sio wote wapo wachache sana waaminifu.
 
me nna principal moja ukiniibia hata sh mia cnaga msalia mtume ,
 
Pole ndugu sio binadamu
 
Kuna msemo unasema Wema ndio Adui wa Mafanikio yako.
 
achana na ndugu yako mpe ajira mtu ambaye unaweza kum-monitor sio mtu ukimcheleweshea mshahara ukoo mzima unapewa taarifa ndugu anasomeshwa tu ajira atajitafutia mwenyewe
 
100%[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom