Simwelewi huyu mwanaume

Simwelewi huyu mwanaume

Mpaka umejiita 'Nikiwe' ina maana upo kama yule Nikiwe wa Isidingo. Hivyo bas mtoto mzuri kama yule hatakiwi kabisa kuhuzunika, you jus give me a Pm then I'll help u to forget him....!!! Jus Pm!
 
sharing bed yahitaji uvumilivu, relax, ongea naye chukua tahadhari, fanya maamuzi
 
Chezeya kupenda na kupendwa weye nikiwe!!!! siku ya tatu kazi zimelala!!!

CC: @FP

Habari zenyu banaaa ni hvii huyu jamaa ninayeshea naye bed sometimez kachange gafla,anapotezea calls na sms zangu,home kwangu hafiki tena n.k anadai yuko bize ila nahisi kama ameopoa goma lingine,wanajamvi nifanyeje?na mie nivute kitu kipya fasta ama nimsikilizie?amenifanya nipoteze interest na kazi siku 3 hizi,naomba maoni yenu.
 
Last edited by a moderator:

kama home kwako hafiki basi yupo home kwake may be amechoka kushea bed yako hebu kashee naye yake uone......!!!!
 
Nilitaka nimpotezee ila kila nikikumbuka maujanja yake kunako najikuta namcall ka leo nimemcall more than ten timez,tulipanga niende naye huko ila mwenzangu kanichunia gafla,kesho namfata job kwake nikajue moja
kwa nini usimfuate home kwake?unaogopa mkewe eeh.achana na mme wa mtu
 
haha ha nilijua lazima upige dongo,si awe muwazi basi mie cna neno sema nilianza kumzoea,so nivute kitu kipya?
Mmeshayazungumza?....kitu kipya hakitamakiza huo msongo.....tulizana,,,,talk to Sir God........think ur future,,,, huyo mlikuwa mnashereheshana tuu....usjie kuwa kiburudisho cha wageni.....
 
Habari zenyu banaaa ni hvii huyu jamaa ninayeshea naye bed sometimez kachange gafla,anapotezea calls na sms zangu,home kwangu hafiki tena n.k anadai yuko bize ila nahisi kama ameopoa goma lingine,wanajamvi nifanyeje?na mie nivute kitu kipya fasta ama nimsikilizie?amenifanya nipoteze interest na kazi siku 3 hizi,naomba maoni yenu.
Kuna kijiununda umemfanyia na sasa yuko kwenye mgomo baridi jirekebisha atarudi halafu jaribu kumpatia kiji out cha kwenda bagamoyo makae siku mbili tatu ukimlainisha
 
Japo nataka potezea ila roho yaniuma jama sijawahi feel mwanaume kama ninavyomfil huyu

"Kumfeel mwanaume" unamaanishaje nikiwe...yet hauna mahusiano naye zaidi ya sex...sounds like an oxymoron to me lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom