Simwelewi huyu mwanaume

Simwelewi huyu mwanaume

Aha haha mkuu kwa rekodi hujambo,siweki tena bandiko najua atapita kuisoma kimyakimya na hopeful atabadilika
Ngoja sisi vibabu tuwaachie vijana uwanja...ila ukiamua kutafuta mbadala usiache kuweka bandiko lako tena hapa jamvini.
 
Kama kawa,penzi kiti cha basi mkuu
kwa nini umpoteze kwa sababu ya call na sms tuliza kichwa na mwingine utakae mtafuta akikata kupokea simu na sms unatafuta mwingine?
 
Ni dalili za kuachana hivyo, huenda amekwisha jua kuwa kwako hana future tena after all kama ni Mtanzania mweusi kama mimi, nawe kwa kumbukumbu zangu kama sikosei huna imani ama mapenzi ya dhati kwa watu hao, huenda amelitambua hilo na taratibu anaanza kuondoka.

Mara nyingine ni kama biashara haramu vile kwa mwanaume kwenda kupiga kambi kwa mwanamke, kama unampenda aendelee kukukuna kama ulivyosema mwenyewe mfuatilie usikate tamaa mapema, maana kubadili badili nako, mmh inahitaji moyo.
 
Thanx lyagwa,ila tulikubaliana terms and cndts since day1,xaxa hayo ya future yanatoka wapi?nilikuwa nimeanza zoea mikuno yake so ntamtafuta tuyaweke xawa
 
Tupa kuleeee...penzi kiti cha bus akishuka yeye anakaa mwingine! 😀
 
Nilitaka nimpotezee ila kila nikikumbuka maujanja yake kunako najikuta namcall ka leo nimemcall more than ten timez,tulipanga niende naye huko ila mwenzangu kanichunia gafla,kesho namfata job kwake nikajue moja
achana nae,ijumaa twende ukapoze machungu na Anaconda,nothing but truth
 
Japo nataka potezea ila roho yaniuma jama sijawahi feel mwanaume kama ninavyomfil huyu
 
Wazani naweza mtema basi?sijui amenipa kizizi yani am not the same aisiiii
mpe siku mbili zaidi, kama ataendelea kukuzingua ni PM. Wewe si mtoto wa kusumbuliwa na watu wasiojua kupenda wala kupendwa.
 
Mzabzab gnt ngoja nilale ili nidamkie majukumu ya ofcn
 
Thanx lyagwa,ila tulikubaliana terms and cndts since day1,xaxa hayo ya future yanatoka wapi?nilikuwa nimeanza zoea mikuno yake so ntamtafuta tuyaweke xawa

nikiwe kwenye mapenzi ni ngumu kusema terms and conditions, lazima mtu ufanye tathimini na pia huwa kuna haja ya kufanya review ya hizo unazoita wewe terms and conditions.

Mwisho ila kwa umhimu lazima ujue mara nyingi mwanaume kumpenda mwanamke kwa ajili ya mapenzi huwa ni kwa sababu ya mambo madogo madogo ama vitu fulani kama vile mvuto, makalio, kifua (matiti), miguu, meno nk, sasa inapotokea anapewa masharti fulani ili kufanikiwa kuwa na mahusiano na wewe inakuwa ni rahisi kukubali kuyatimiza yote, na akisha fanikisha sasa ili kuweza kum maintain ni upande wa mwanamke kuendelea kuonesha juhudi za makusudi ili kubakiza kwako.

Hakika hapo ndio utaona tofauti na mtu anayeitwa mwanaume wako, imagine leo yanatokea hayo ukiwa bado binti, unalipa, soko lipo juu, vipi kesho na kesho kutwa na hitaji la kukunwa/kukuna lipo tu.
 
Last edited by a moderator:
Wazani naweza mtema basi?sijui amenipa kizizi yani am not the same aisiiii

Hamana kizizi wala nini, mapenzi yenyewe ni uchawi tosha, umekili juu ya maufundi yake kwako, kumbuka kabla yako hayo maufundi alishayaonesha kwa wanawake wengine wengi kama wewe, na wao pia wanalia na kusikitika kumkosa na wanafanya kila linalowezekana kumrudisha, kama kuna kitu walikosea wanajirekebisha na kufuta makosa yao, sasa kama kuna upungufu wowote aliuona kwako ni rahisi kutorudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom