Simwelewi huyu mwanaume

Simwelewi huyu mwanaume

Ha ha ha sasa habari za kurudi yesu wakati tukido zinatoka wapi?kwanini tulipewa hivi viungo vya siri? C ili tuvitumie?niache nile usichana wangu best nikiumaliza nitazaa kababy boy niwe bize kukalea na nitastaafu rasmi ishu za mikasi

Cc: mzabzab
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha sasa habari za kurudi yesu wakati tukido zinatoka wapi?kwanini tulipewa hivi viungo vya siri? C ili tuvitumie?niache nile usichana wangu best nikiumaliza nitazaa kababy boy niwe bize kukalea na nitastaafu rasmi ishu za mikasi
utakuja tena humu kutuomba ushauri,FYI jamaa kapata kademu kengine kako moto kuliko wewe,anza kuuzoesha moyo wako kumsahau baba baba wa watu
 
mbona waninenea mabaya shosti? ujue sikumuomba Mungu my love life yawe hivi ila najua ni my cross which i have to carry for the rest of my life lol
utakuja tena humu kutuomba ushauri,FYI jamaa kapata kademu kengine kako moto kuliko wewe,anza kuuzoesha moyo wako kumsahau baba baba wa watu
 
Pole sicy nahc mchiz ameshakinai kama vp songa mbele mbona masela tupo wengi sana we can replace him!
 
Piga chin...hizo ni dalili za kukupotezea..that's what we do ukitaka kumuacha dem uliemchoka..unampotezea taratib adi unakuta tamaa...silence killer style
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom