georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,881
taratibu basi mkuu, usijeniharibia tena. kuna watu wamesusa huko, nataka niwape somo!juzi kati si ndo ulipost ule uzi wa sms za mwizi?! umeuona jamaa ameomba PM kama yule sista akiendelea kuzinguliwa na jamaa yake?! akaongezea na maneno ya kunogesha nogesha! chek utaona!!